Hata Yanga Mkifanya Mchezo, kesho mnapasuka, no joke

Al ahly walicheza kama hawakucheza
Na wakicheza sijui itakuwaje[emoji38]
Hawana Timu ya kucheza ndio maana hii Timu wakikutana na Timu inayojielewa wanafungwa nyingi walipocheza na CRB kipa wao ndio alikua man of the match..
 
Mkuu mimi ni Yanga,Watani wakicheza vizuri nasema sasa mimi kuwasifia Simba ushanipeleka kwa makolo shida ipo wapi sisi wengine tumeanza kufatilia mpira toka enzi za kina Selestine sikinde Mbunga mpira kwa sasa hivi umekua yaani Timu zetu ndio zinashambulia vile wakati tulishazoea wao wakija wana uhakika wa ushindi na mpira wanacheza wao kwa jana Simba ilitawala kiungo mpaka pale walipofanya sub za kina Percy Tau na Modeste ndio Waarabu nao wakaanza kushika mpira...
 
Sasa timu zetu zinashindwaje kuifunga timu iliyojichokea
Hawana Timu ya kucheza ndio maana hii Timu wakikutana na Timu inayojielewa wanafungwa nyingi walipocheza na CRB kipa wao ndio alikua man of the match..
 
Na wale mashabiki waliopata ajali sijui wanaendeleaje
Inauma watu wanapata majanga,na bado timu inashindwa kupambana kushinda.

Mungu awape uponyaji wa haraka majeruhi wote.
Waligundua wakicheza wangewapa nafasi nyingi simba hivyo wao wakaamua kukaa ktk njia za mpira
 
Hawana Timu ya kucheza ndio maana hii Timu wakikutana na Timu inayojielewa wanafungwa nyingi walipocheza na CRB kipa wao ndio alikua man of the match..

Kama hawana timu ya kucheza. Mbona karibu kila msimu ubingwa wa africa wanabeba wao ? Ndani ya miaka minne hii wametwaa ubingwa wa africa mara 3. Halafu unasema hawana timu ya kucheza ?
 
Mpira wa Tz unachonikera ni kelele nyingi
Yaani kuna ujinga mwingi sana mdomoni...
Ndicho hiki kinachonifanya nisipende kufuatilia mpira wa Tz.
Wale wasemaji wa timu wanaongea kama wanaimba taarabu,upumbavu mtupu.
Timu zetu ni za kawaida kuliko kelele tunazopiga...
 
Kama hawana timu ya kucheza. Mbona karibu kila msimu ubingwa wa africa wanabeba wao ? Ndani ya miaka minne hii wametwaa ubingwa wa africa mara 3. Halafu unasema hawana timu ya kucheza ?
Kocha wa Mamelodi wiki iliyopita kasema anaomba pia nao Mamelodi wawe na bahati kama Al Ahly maana hawana Timu ila wanakua mabingwa zipo Timu bora za kuchukua Ubingwa ila sio Al Ahly...Timu bora ichezewe mpira na kina Kibu Denis kweli..angalieni baadae saa kumi Mazembe vs Petro ya Luanda...
 
Mpira wa Tz unachonikera ni kelele nyingi
Yaani kuna ujinga mwingi sana mdomoni...
Ndicho hiki kinachonifanya nisipende kufuatilia mpira wa Tz.
Wale wasemaji wa timu wanaongea kama wanaimba taarabu,upumbavu mtupu.
Ushaona hicho kitu kwenye hizo Timu mtu anawaaminisha watu kuwa tuanze kushangilia kuanzia goli la tatu wakati kupata goli moja tu ni mtihani kwenye haya mashindano...mechi moja ya Mamelodi vs Al Ahly walicheza dakika 180 pamoja na za nyongeza mechi mbili alikufa Al Ahly goli moja tuu harafu anatokea mtu akiwaaminisha watu wake kuwa Al Ahly wataifunga kama Galaxy...
 
Na Cha kushangaza kuna watu bado wanawasikiliza😂😂😂😂😂😂
 
Na wale mashabiki waliopata ajali sijui wanaendeleaje
Inauma watu wanapata majanga,na bado timu inashindwa kupambana kushinda.

Mungu awape uponyaji wa haraka majeruhi wote.
Wale hasa yule marehemu alale mahali pema...majeruhi mungu awape pole
 
Hata tukifungwa hatuwezi kutukana matusi viongozi wetu maana mpira Una matokeo matatu
 
Kaka haya mambo zamani ilikuwa hivi au vile, therefore we are improving nadhan unakosea.

Mpira ni INVESTMENT achana na story ; kuwe na proper investment as well as accountability structure kwa viongozi. Sio kwa wachezaji na makocha tu

Hata Maalim Benchika amelala mika kuwa changamoto kubwa ni ukosefu wa wachezaji wenye quality ambao in 6 chances , wanaweza kutumia 3 .

I am sure Maalim kama angekuwa na timu yenye washambuliaji wawili tu wenye quality ya CAF , trust me this time around , Ahly angetokea robo fainal. But tutaongea hapa yatapita, then njoo kipindi cha Usajili utashika kichwa . Ahmed Chizi ataanza kufanya promotion. Mchezaji mzuri haitaji promotion yoyote

Kwangu mimi Maalim ndio man of the match , ame itransform snaa SSC, hata Yanga wategemee upinzan wa dhati kwenye game ya marudiano
 
Timu zetu ni za kawaida kuliko kelele tunazopiga...

Wewe utafika mbali. SSC na YANGA wana social media game sana. Ndio maana hata wasemaji wao wote ni vichaa. Angalia promotion za Mamelodi au National Ahly…. Very normal but they have huge investments.

Njoo kwetu, social media football, sio wakati wetu tena
Wafanye investment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…