Hata Yanga Mkifanya Mchezo, kesho mnapasuka, no joke

Hizi ndio tuzitakazo humu GT sports sio uha..ro wa daily kutoka wa we.hu kama GENTAMYCINE..
Kwamba kufungwa kwa simba ni sababu ya kapombe kuongea kwenye pre match!!?
Alafu bado na watu wanamchekea
 
Shida yenu mnataka Timu ziwe vizuri wakati hao wakina Karia hakuna hata kitu wanajua ubora wa Timu unaanzia kwenye uongozi unaowasimamia wakiwa sawa sio kwa madudu ya TFF harafu mtegemee Mirambo Tabora watakuwa professional hao Mamelodi mpaka kuwa sawa pana vitu vingi wamepata kutoka SAFA sasa huku hizi Timu hata hivyo zinajitahidi sana maana viongozi wao wanajihangaikia wenyewe tu...
Timu zivae jezi zenye Rebo kama Adidas,Puma au Nike hizi mambo za kuvalishana jezi hazina hata viwango kisa wachache wapige pesa mnataka Timu na Wachezaji wa level ipi?
Wachezaji wa Timu zetu wanalipwa mishahara tu ila hakuna hata % wanayopata kutokana na mauzo ya Jezi zao kwa mfumo huu tutakua na Wachezaji walioachwa ili waje wamalize muda wao maisha yaende...
 
Upo sahihi uwekezaji kuanzia benchi la ufundi Mpaka wachezaji ni jambo la muhimu sana , Mpaka mwaka Jana yanga ilikuwa namba 5 klanu bora za msimu uliopita za caf , Mamelodi ikiwa namba 2.
Lakini ukiangalia mamelodi inayotoa wachezaji 9 wa bafana bafana walioshika namba 3 Afcon Nakosa matumaini ya young Africans kushinda hatua hii ya Robo fainali .

Pale mbele mamelodi wana mu uruguay , mu argentina , m Chile wote ni wa viwango na gharama kubwa ,young Africans kuna mzize , guede , musinda , shehan tofauti ni kubwa Mpira ni matokeo sio siasa za ahmed Ali .
Nitafurahi yanga akivuka lakini sio hii ikitokea labda kwa muujiza.
 
Simba na Yanga zinataka mafanikio ya haraka sana kama Madrid kitu ambacho wanachukua wachezaji Nje walio kwenye ubora na kuwatumia kwa kipindi kifupi na pia walitakiwa wawe na Timu za vijana wenye uwezo kweli na hao vijana kuwa huko wanalipwa posho sio kwa mfumo waliokua nao sasa hivi niliwahi sikia kwenye Kikao Timu ya Vijana ya Simba wametumia sijui Tsh 600 m kwa matumizi yapi hao vijana wametumia kama sio kuwa hao vijana inakua sehemu ya wachache kuiba pesa...
 
Mamelodi kwenye makaratasi ni kwamba wao wanashinda kwa kuwa wana wachezaji kama ulivyo wataja hapo ila mpira una mambo mengi sana hasa kwa hizi Timu ambazo nazo kwa kiwango fulani wamenunua Nje ingawaje sio kwa wachezaji wa kiwango cha juu ila hao hao wanaweza wakacheza mpira na kushinda hiyo ni kwenye Pitch ila on Paper Mamelodi wapo sawa sana kuliko sisi Yanga ila naamini kwa ubora walionao Yanga kwa sasa wanaweza kukabiliana na Mamelodi ambayo ipo juu zaidi yetu..
 
Waligundua wakicheza wangewapa nafasi nyingi simba hivyo wao wakaamua kukaa ktk njia za mpira
Mkuu hapana angalia leo mamelodi watakavyocheza au Petro saa kumi harafu uendelee kuongea unachoongea wale jamaa wapo Unga sana bhana hatuhutaji Viswahili vingi vya kuwapamba watu wanapoteza mipira hovyo na mingine inawagonga kama Maveterani harafu unasema walikua wanakaa kwenye njia hii hapana...
 

You have a point . Tunahitaji reforms kuanzia TFF.

Mtanisamehe, ila mimi sipendi wazeee wakiwa ofisini:

Ukiangalia hata TANZANIA tumefika hapa ni sababu sehemu kubwa ya nchi inaongozwa na wazee , vijana tumebaki kuwa machawa na kuongea ujinga mwingi.

Natamani snaa kuonaa pale TFF rais ni kijana aged 35 to 45 max. Mtaona changes.

Vijana tugombanie nafasi za uongozi kama TFF, bodi ya ligi, kwenye vilabu vikubwa, tufanye replacement ya wazee wote wanaoishi kijima

Hatutoweza kuleta matokeo chanya kama hatutogombania nafasi za uongozi. jews walitambua concept ya kuongoza na elimu, ndio maana wakatudanganya wao ni chosen people. Who chose them by the way ; ?

Vijana wetu wa miaka 18 wakitoka kwenye game wanakuwa bilionea kama kina mane, mwisho wa siku wanawekeza nyumbani.

Mpira ni big investment kwa watoto kwa sasa na ndio njia pekee ya kuwa tajiri in a month

…. Wazee wanatuchelewesha kufika huko,

hawana proper plans for future generations; tutoe wazeee wote kwenye viti kwa kugombania nafasi ili twende na kasi ya kijana

Mmeona Senegal , kijana wa 44 ndio Rais , wazee hawana ishu.

Hata Obama alipewa nchi in his 40s na akaweza sana
 
Ok 👍
 
Naambiwa Ahmed Chizi kaja na mpya, kwamba ataenda kufanya maajabu Cairo , huyu jamaa alisoma Hadi level gani?


😂😂😂nmecheka aloo
 
Mimi Simba SC fan umeongea points.
 
Kama uliangalia mipira ya Tz ya miaka ya 80-90 sikushangai kutoa comment kenge namna hii. Kwamba Al ahly walizidiwa na Simba hiii[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona sioni huo mpira wa viwango wa Petros de Luanda na TP Mazembe? Wana cheza tU kama mechi ya kirafiki. Yanga na Simba zikiwekeza vizuri kwenye wachezaji wa viwango na uongozi ni miongoni mwa timu bora kabisa hapa Afrika. Hawa mnaowasifia ni timu za kawaida sana kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…