Hata Yanga Mkifanya Mchezo, kesho mnapasuka, no joke

Machizi wa simba na Yanga hawawezi kukuelewa mkuu.

Utapiga kelele za bure tu.

Mimi nilikuwa na Senzo na Barbara simba
Wale wapumbavu hawataki mabadiliko wao ni Ishirikina na Mashehe wa kiislamu tu

NILIPUSH SANA MAMBO 3.
1. UWEKEZAJI.
2.UONGOZI.
3.WACHEZAJI.
 
Petro mpaka mechi ya leo hawajafungwa hata goli moja mechi 7 nadhani mnaangalia mechi moja moja mnakuja mbio hapa...hao jamaa walikamiana sana ila ni wazuri..
 
Kama uliangalia mipira ya Tz ya miaka ya 80-90 sikushangai kutoa comment kenge namna hii. Kwamba Al ahly walizidiwa na Simba hiii[emoji23][emoji23][emoji23]
Hujui mpira mkuu endelea na mishe zingine sio kila kitu uwepo
 
Mbona hujaweka na

10% za wachezaji magarasa..?!
 
Vijana leo wamepambana kwa jasho na damu nikiangalia maoni ya mashabiki wa mamelodi wanailaumu timu yao lakini kiukweli yanga ilipambana Leo ndio maana mamelodi hawakucheza Mpira waliozoea.
 
Vijana leo wamepambana kwa jasho na damu nikiangalia maoni ya mashabiki wa mamelodi wanailaumu timu yao lakini kiukweli yanga ilipambana Leo ndio maana mamelodi hawakucheza Mpira waliozoea.
Wanailaumu kivip wakati Mzinze angetulia ilikua kamba ile na ile faulo ya Key nje ya penalty box wao hawakuona washukuru wamepata sare maana kocha wao kabadili mifumo yote kwa beki zetu lakini wapi Mokoena yule Captain hajaamini alivyokamatwa pale kiungo na Nungunungu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…