Hata yule Mfungwa wa Kike kumbe naye ni ASKARI !! Haya Majama yanayomzunguka Samia ni Majinga ,yanafanana Kila kitu

Hata yule Mfungwa wa Kike kumbe naye ni ASKARI !! Haya Majama yanayomzunguka Samia ni Majinga ,yanafanana Kila kitu

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
1778425339090.jpg
 
Shule za boarding pia hawaruhusu shedo, wanja wala helleni, lakini siku za ubwabwa (Sherehe) mabinti wanajitungua kwelikweli.

Ilikuwa lazima wapendeze, wavutie hadhara.
 
Kuna kisa kimoja Segerea, siku moja wafungwa walishangaa chakula,ugali + maharage + kabichi + kipande Cha ndizi , ..kumbe bwana siku hiyo kulikua na watu Haki za binadamu wanatembelea magereza,Cha ajabu AFYA zao na vyakula tofauti
Sema unachotaka kusema🤣
 
Shule za boarding pia hawaruhusu shedo, wanja wala helleni, lakini siku za ubwabwa (Sherehe) mabinti wanajitungua kwelikweli.

Ilikuwa lazima wapendeze, wavutie hadhara.
Watakuuliza walizipata wapi hizo mambo za kujilemba ila wanasahau hakuna kisichopatikana jela uhuru ila kila kitu kipo ni wewe na pesa yako .

Miss you severine mtambuka soon utakuwa uaraini kaka
 
Back
Top Bottom