Hataki kunipa talaka

Hataki kunipa talaka

Talaka kisa chati, grow up.

Utoto unakusumbua, ulifikiri ndoa ni kama kucharge simu ikijaa unachomoa tu.

Hahahahahahahahahah.... Nawazakuwa kutakiwa na sababu nyingine lukuki nyuma ya kudai talaka hii kwa nguvu kiasi hiki.
 
Wanasemaga, ndoa yahitaji uvumilivu...Sijui wanamaanishaga nini?

Bora ukawa mkweli. Tuambie humpendi halafu tujue jinsi ya kukusaidia ili muachane kwa ugomvi, vita, masimango, visirani etc
 
Mama K njoo nkutulizee... Au ndoa bado inapumuaa[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Wanawake wa sikuiz ovyo sana, kuachana kisa chatting? Are you serious with a matrimonial union? Ebu acha utani, uliolewa bht mbaya labda. Watu wanafumania cd iko ndani ya deck na yanaisha...utakua humtak tu
 
Ni mume wangu, mwaka wa 7 ndoani with one kid, nimefuma anachat na mwanamke kimahaba, nikajishusha tuyaongee mwenzangu ananijia juu.
Sasa nimeamua ndoa basi, nataka talaka yangu na yeye kunipa hataki.
Niko stressed jamani, nishaurini mwenzenu.

Yani Mimi ndio nimekosewa na bado nanuniwa, na nikimwambia tuachane hataki. Nifanyeje?
Mrejesho
 
Back
Top Bottom