Hataki kunipa talaka

Hataki kunipa talaka

hapo ndo kosa lako kuu ulipomwachia akuchape hebu amka mwanamke mwenangu mbn dawat la jinsia lipo,mlaze ndan sku moja atie akili
Wanawake kama nyie mnalaza wanaume zenu ndani hamfai hata kidogo.upo tayari hata kumuua wewe. Roho gani mbaya namna hii kama huwezi si muachane kila mtu aishi maisha yake.
 
Post kama hizi ndo zinafanya makampuni ya simu yaongeze bei ya bando. Sasa umemkuta mumeo anachat unakuja kumuanzishia thread jukwaan. Je ungemkuta yuko juu ya kifua? Kuna wanawake wamechoka ndoa sasa huwa wanatafuta visababu vya kuokoteza ili waachane na waume zao.

usiseme hvyo sooth,kila mtu anauwezo wa aina yake kuhimili mambo,usimkebehi aic
 
Wanawake kama nyie mnalaza wanaume zenu ndani hamfai hata kidogo.upo tayari hata kumuua wewe. Roho gani mbaya namna hii kama huwezi si muachane kila mtu aishi maisha yake.

haha sawa sawa mkuu umeeleweka
 
Nina ushahidi wa kutosha, nimempigia mwanamke amekiri.
amekiri kufanyeje?
Kama shida yake ni kuchepuka tu na kama bado unampenda mpresurize kwenye interests zake then yeye mwenyewe atajitune right
 
Wanawake kama nyie mnalaza wanaume zenu ndani hamfai hata kidogo.upo tayari hata kumuua wewe. Roho gani mbaya namna hii kama huwezi si muachane kila mtu aishi maisha yake.
Hapana wala hawana roho mbaya.Hiyo njia imeonekana kufanya kazi hususan kwa wanaume wenye mazoea ya kuwapiga wake zao.
 
hapo ndo kosa lako kuu ulipomwachia akuchape hebu amka mwanamke mwenangu mbn dawat la jinsia lipo,mlaze ndan sku moja atie akili
Amlaze mumewe ndani? As in ampeleke ndani akalale usiku mzima?
Hivi kumbe wanawake wa hivi mpo?
 
Hapana wala hawana roho mbaya.Hiyo njia imeonekana kufanya kazi hususan kwa wanaume wenye mazoea ya kuwapiga wake zao.

hawez kukuielewa hahah eti mimi niwe na roho mbya hahhahah dah inafik KIPINDI BORA USHAURI HVYO TU,anyways yote maisha
 
mrs air naona unataka uiharibu ndoa ya mwenzako, unataka umlishe sumu huko pm. You'd rather not advice her kuliko hizo strategies unazotaka kumpa.
 
Hapana wala hawana roho mbaya.Hiyo njia imeonekana kufanya kazi hususan kwa wanaume wenye mazoea ya kuwapiga wake zao.
Mi ukishaniweka ndani hapo hamna ndoa tena.huko ndani ya nyumba tutaishije na mtu ambaye ameshaniweka lock up?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
 
Umefanya maamuzi sahihi utakufa na stress kukaa na jitu malaya kwenye nyumba mahakama inatoa talaka kwa ndoa halali ikiwa ni kwa sababu ya uasherati, matatizo ya akili n.k nakushauri ufuate utaratibu wa kisheria ukaishi maisha yako yenye furaha tele hilo ni pepo limekukosea alafu linakununia wakati kuna watu wanamwomba Mungu awaonyeshe wake, shenzi.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Mamy k. Tulia mkanye mumeo. Halafu ww ndo mama wa-nyumba. Unataka malaya atawale kwako?
 
Acha ujinga; vumilia kwa kuwa hiyo siyo fumanizi. Usitake talaka bali mpende zaidi na mpe vizuri hadi aone michepuko ni takataka.
 
Back
Top Bottom