agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,400
Unadundwa alafu upo tu!.. subili aje akuue au akupe ulemavu Wa maisha alafu aoe mke mwingine ndo utajua..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unadundwa alafu upo tu!.. subili aje akuue au akupe ulemavu Wa maisha alafu aoe mke mwingine ndo utajua..
Wapuuzi hao kuna matukio kibao ya wanawake kuuwawa au kuachwa na ulemavu alafu MTU anatetea upuuzi.wanawake nao tujitambue uvumilivu una mipaka yake wanaobaki kuteseka ni watoto wako wanaume wachache sana wanaweza kulea watoto.unataka uwe attacked humu na [HASHTAG]#akili[/HASHTAG] unazo eh??tunaambiwa sisi tunamshauri vbyy,,,mm usinipige aic,nimesema mm kuna mtu nimemharibia had siku yake,kituko
Wewe ni wakili mwanamke au ni wafu wanazikana?Umefanya maamuzi sahihi utakufa na stress kukaa na jitu malaya kwenye nyumba mahakama inatoa talaka kwa ndoa halali ikiwa ni kwa sababu ya uasherati, matatizo ya akili n.k nakushauri ufuate utaratibu wa kisheria ukaishi maisha yako yenye furaha tele hilo ni pepo limekukosea alafu linakununia wakati kuna watu wanamwomba Mungu awaonyeshe wake, shenzi.
hilo neno aic maana yake nini mamii?kwnini lakini unakubali kupigwa na ww mamy k?/yaan ajispoil na mademu na bado akupige?naja pm aic nikupe mambinu huko,masuala ya kupigwa yalikuwa kwa bibi zetu aic,tena mwambie kbs sitak unipige siku akikupihga nenda dawat la jinsia fastaaa wanaenda kumbeba
Talaka si jambo la kumshauri mtu,hairuhusiwiNi mume wangu, mwaka wa 7 ndoani with one kid, nimefuma anachat na mwanamke kimahaba, nikajishusha tuyaongee mwenzangu ananijia juu.
Sasa nimeamua ndoa basi, nataka talaka yangu na yeye kunipa hataki.
Niko stressed jamani, nishaurini mwenzenu.
Yani Mimi ndio nimekosewa na bado nanuniwa, na nikimwambia tuachane hataki. Nifanyeje?
ina maaana hujaona aliposema anapigwa?/au hujui maana ya kichapo??naona nikiendelea nkujibizana na ww nitraendelea kukudharau,,haya umeshinda ww,msome mamy k tena uelewe acha kukurupuka basi
Ananipiga, tena hata mbele za watu wengine, nimevumilia, sasa kama kapata mwingine ndio namuachia nae zamu yake aje ayaone.
Ni mume wangu, mwaka wa 7 ndoani with one kid, nimefuma anachat na mwanamke kimahaba, nikajishusha tuyaongee mwenzangu ananijia juu.
Sasa nimeamua ndoa basi, nataka talaka yangu na yeye kunipa hataki.
Niko stressed jamani, nishaurini mwenzenu.
Yani Mimi ndio nimekosewa na bado nanuniwa, na nikimwambia tuachane hataki. Nifanyeje?
Yap yap kamsamahaa kiduchu tuu. Iloo janaumee naloo falaaa tuu kumsound mkewe linashindwa linanunaaGod bless the women kwa kweli!
Huyu hahitaji talaka. Anachotaka kutoka moyoni mwakev ni kuombwa msamaha tu, baaasi. I hope all men are taking notes here.
Wakishambeba akawekwa lokapu akikaa nyumbani siku mbili akaparara,pesa yakulaa ikaisha anakwenda mwenyewe kumchomoa. Swalaa azungumze nae tuu yaisheekwnini lakini unakubali kupigwa na ww mamy k?/yaan ajispoil na mademu na bado akupige?naja pm aic nikupe mambinu huko,masuala ya kupigwa yalikuwa kwa bibi zetu aic,tena mwambie kbs sitak unipige siku akikupihga nenda dawat la jinsia fastaaa wanaenda kumbeba