MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
Siku zote Wimbo uupendao ndiyo wimbo uliwahi kuufanya kwa kinywa chako.. Huwezi chukia kitu ambacho hujawahi kufanyiwa au kukifanya ukajua maumivu yake.. Humu Ndani wengi tunajificha kwenye Keyboard ila truth our words tells alot who we are nje ya JF.
Mrs Air wewe ulishapigwa sana na Umeshampeleka huyo Mumeo sana Polisi ndio maana kwako unadhani kuwa njia pekee ya kutatua matatizo ya kimahusiano ni Kwenda Polisi. Polisi ipo Kwa wahalifu...Siku Ukimpeleka Mumeo Polisi Jua ndiyo siku umetangaza Vita Nyingine. Acha nireserve comment zangu
hahhhhahha sijawah ht kufinywa shavu mwenzako,nadhan nimekujib inbobo kwako,hajui ht kusonya mume wangu,hajawah ht kumvuta sikio mtoto yaan hajui kupiga,ila nnuimekutana na case km hizo kwa watu wa karibu kwangu
NARUDIA TENA POLESANAAAAA