Talaka kisa chati, grow up.
Utoto unakusumbua, ulifikiri ndoa ni kama kucharge simu ikijaa unachomoa tu.
MrejeshoNi mume wangu, mwaka wa 7 ndoani with one kid, nimefuma anachat na mwanamke kimahaba, nikajishusha tuyaongee mwenzangu ananijia juu.
Sasa nimeamua ndoa basi, nataka talaka yangu na yeye kunipa hataki.
Niko stressed jamani, nishaurini mwenzenu.
Yani Mimi ndio nimekosewa na bado nanuniwa, na nikimwambia tuachane hataki. Nifanyeje?
Wanawake wa sikuiz ovyo sana, kuachana kisa chatting? Are you serious with a matrimonial union? Ebu acha utani, uliolewa bht mbaya labda. Watu wanafumania cd iko ndani ya deck na yanaisha...utakua humtak tu
HahahaMama K njoo nkutulizee... Au ndoa bado inapumuaa[emoji16][emoji16][emoji16]
Yani kumkuta anachat na mwanamke mwingine ndo iwe sababu ya kuomba talk? Mama nanii ebu kuwa mvumilivu basi
Umewafumania wakizini?
Una yako mengine wewe si bure
Nina ushahidi wa kutosha, nimempigia mwanamke amekiri.