Hataki kupima lakini anadai bado ananipenda


You are very smart lady, you don't need advice from other people.
 
Nimecheka sana, mmhh babe tutafika kweli?
Tutafika tu babe...

Mambo ya kupima, tutapima kama tunataka kushonesha nguo... kiuno hivi sasa ni size 38...

Mi naogopeshwa na kisukari na kansa tu.

Hivi unapima ngoma ili iweje?? Kuna dawa??
 

Tukapime mimi na wewe, tukiwa wazima tukulane
 
Tutafika tu babe...

Mambo ya kupima, tutapima kama tunataka kushonesha nguo... kiuno hivi sasa ni size 38...

Mi naogopeshwa na kisukari na kansa tu.

Hivi unapima ngoma ili iweje?? Kuna dawa??
Ili uanze kula njugu kila siku mpaka kifo kitutenganishe.
 
Mwaka huu nimeshuhudia vibinti vikaliiii vidogo dogo under 25 vimelazwa kwasababu ya fungus wa Mapafu na ubongo.

Hivi jueni ukimwi upo na hii age ya kula bata hujisahau kumeza dawa hivyo vinakuwa viambukizi balaa
 
Mrejesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…