Hataki kupima lakini anadai bado ananipenda

Hataki kupima lakini anadai bado ananipenda

Kupima ni uamuzi wa mtu binafsi, nimekaa miaka 4 bila ya kupima na mechi nilizokua napiga ni hatari. Lakini leo asubui nikaona bora nipime na namshukuru Mungu majibu ni (-ve).
Kaa nae chini mueleweshe labda atakubali.
Hongera kwa ujasiri uliochukua
 
Huyu mwenza wangu tulipima kabla hatujaanza mahusiano, wote tulijikuta tuko salama. Baada ya kugundua kuwa ana mahusiano ya ziada nimemtenga. Ameomba msamaha nimemwambia tukapime tena kabla hatujarudisha mahusiano yetu hataki. Lakini bado anadai ananipenda.
inamaana mpaka sasa ujapata wa uhakika[kuolewa] bado unadandia tu?
 
Huyu mwenza wangu tulipima kabla hatujaanza mahusiano, wote tulijikuta tuko salama. Baada ya kugundua kuwa ana mahusiano ya ziada nimemtenga. Ameomba msamaha nimemwambia tukapime tena kabla hatujarudisha mahusiano yetu hataki. Lakini bado anadai ananipenda.
Mnacho kitafuta kwenye kupima pima mtakipata.

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
 
Ni kheria kuanza safari ya matumaini mapema au kuiepuka
Wewe nae embu olewaga basi tukaribie huko kwenye harusi. Kilasiku kuwapostia shost zako humu[emoji3][emoji3][emoji3]

Leo umejitahidi kwa mawili

1. Umepost yanayokuhusu

2.umejitahidi kuficha michapio maana wewe kwa michapio ni level nyingine...na mara nyingi michapio yako inafunga mwaka[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
 
Ni kheria kuanza safari ya matumaini mapema au kuiepuka
Yule wa kuliamsha dude vipi.. Hujamtafuta tena[emoji16][emoji16][emoji16]

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
 
Back
Top Bottom