Hataki kupima lakini anadai bado ananipenda

Hataki kupima lakini anadai bado ananipenda

Ni kweli anakupenda unajua kinachotokea mara nyingi ni kuwa mpenzi anapokuwa na mahusiano ya ziada kuna kitu "kipya" anakitegemea huko na mara nyingi hukuta wewe uko bora zaidi ya kule kwa ziada. una bahati nzuri kuwa wewe ndie uliegundua hayo mahusiano ya ziada trust me wengine hatugunduliwi ila tunajistukia na kuenda kupima alone bila kukuhusisha. Huyo jamaa ataenda peke yake kupima na huenda ashapima raundi ya kwanza na akiwa fresh atakubali mkapime wote. otherwise usikubali kurudi bila kupima. BTW bado unampenda?
Hili ni swali lingine tena once a cheater will always be a cheater
 
Lakini wanaume kwanini ni wagumu kukubali kupima?

Kupima ni uamuzi wa mtu binafsi, nimekaa miaka 4 bila ya kupima na mechi nilizokua napiga ni hatari. Lakini leo asubui nikaona bora nipime na namshukuru Mungu majibu ni (-ve).
Kaa nae chini mueleweshe labda atakubali.
 
Back
Top Bottom