Hataki kupima lakini anadai bado ananipenda

Hataki kupima lakini anadai bado ananipenda

Tena usiishie Hapa tu.
Baki na msimamo wako hivyo hivyo.
Kuna mzee mmoja anasemaga ananipenda, nilimwambia ukitaka kuwa nani kwenye mahusiano twendwe tukapime.
Anakataaaga.
Kwa vile kapenda ,anakazi ya kunihudumia tu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Na sitokaa niende nae chobingo kamwe

I'm the queen of my own empire. [emoji182]
iko siku utaitwa ukachukulie hela chumbani alafu ndo siku uliyo omba mtaji apo ndo utafurahi sasa
Kwanini ule cha mtu kama huna mpango nae
 
Huyu mwenza wangu tulipima kabla hatujaanza mahusiano, wote tulijikuta tuko salama. Baada ya kugundua kuwa ana mahusiano ya ziada nimemtenga. Ameomba msamaha nimemwambia tukapime tena kabla hatujarudisha mahusiano yetu hataki. Lakini bado anadai ananipenda.
Ukimkuta yuko poa unaendelea naye??
 
iko siku utaitwa ukachukulie hela chumbani alafu ndo siku uliyo omba mtaji apo ndo utafurahi sasa
Kwanini ule cha mtu kama huna mpango nae
Simuombi. Anatuma mwenyewe. Kawaida yangu. Kama sikuhitaji sili chako,
Ila ukijipendekeza ukanipa bila Mimi kukuomba. Nakula

I'm the queen of my own empire. [emoji182]
 
Back
Top Bottom