Hataki kupima lakini anadai bado ananipenda

Hembu tuangalieni hoja ni kuwa ukicheat basi mwambie mpenzi/mke wako ukweli na mkapime kabla ya kuparamiana
 
Tena usiishie Hapa tu.
Baki na msimamo wako hivyo hivyo.
Kuna mzee mmoja anasemaga ananipenda, nilimwambia ukitaka kuwa nani kwenye mahusiano twendwe tukapime.
Anakataaaga.
Kwa vile kapenda ,anakazi ya kunihudumia tu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Na sitokaa niende nae chobingo kamwe

I'm the queen of my own empire. [emoji182]
Huo sasa ni wizi.si umwambie aache kukuhudumia.kuna siku utazitapika hizo fadhira.Huo sio ujanja hata kidogo.mpaka upigwe uchizi ndiyo utatia akili we endelea kula vya wahenga
 
"Lakin bado anadai ananipenda" we umpendi hadi mkapime uzito ama nn

once beaten, twice shy.
 
Huyu mwenza wangu tulipima kabla hatujaanza mahusiano, wote tulijikuta tuko salama. Baada ya kugundua kuwa ana mahusiano ya ziada nimemtenga. Ameomba msamaha nimemwambia tukapime tena kabla hatujarudisha mahusiano yetu hataki. Lakini bado anadai ananipenda.

mimi naona huyo hakupendi bali anajipenda
 
Huyu mwenza wangu tulipima kabla hatujaanza mahusiano, wote tulijikuta tuko salama. Baada ya kugundua kuwa ana mahusiano ya ziada nimemtenga. Ameomba msamaha nimemwambia tukapime tena kabla hatujarudisha mahusiano yetu hataki. Lakini bado anadai ananipenda.

We unampenda?
 
Wewe nae embu olewaga basi tukaribie huko kwenye harusi. Kilasiku kuwapostia shost zako humu[emoji3][emoji3][emoji3]

Leo umejitahidi kwa mawili

1. Umepost yanayokuhusu

2.umejitahidi kuficha michapio maana wewe kwa michapio ni level nyingine...na mara nyingi michapio yako inafunga mwaka[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
Sky Eclat ameolewa mda sana huyu, stories zake nyingi ni fiction, analeta ujumbe kwa namna fulani tu. Huwa nacheki threads zake za mda, kama angekuwa anaandika ukweli ingekuwa ana 48yrs huko, but she's just a young lady, hafiki hata 30yrs.
 
Hata mimi nimemuelewa ujumbe wake kwa wanaume huu apa[emoji116]
Lakini wanaume kwanini ni wagumu kukubali kupima?
 
Hata mimi nimemuelewa ujumbe wake kwa wanaume huu apa[emoji116]
Mwanzo alikuwa akinichanganya sana, nikaja kuona anatumia "Kwamtogole" wakati she's very updated kwenye fashion design, vyakula vya kizungu, mmmh sijui zile quality perfumes na deodorant nikajisemea wa kwamtogole hawajui haya mambo.
 
Hahaa kumbe kwamtogole ya wazungu
 
Huyu mwenza wangu tulipima kabla hatujaanza mahusiano, wote tulijikuta tuko salama. Baada ya kugundua kuwa ana mahusiano ya ziada nimemtenga. Ameomba msamaha nimemwambia tukapime tena kabla hatujarudisha mahusiano yetu hataki. Lakini bado anadai ananipenda.
Jamanii.....
 
Nilijua tu babu Asprin hawezi kukuacha salama [emoji23] [emoji23] hahaha anwyz ila dada zetu mna upendo sana, juzi kakuchiti leo anarudi mikono nyuma na unampokea. Endelea tu na maisha yako huyo bwana kama aliweza kutafuta na kupata sababu ya kukusaliti, huko mbele ya safari haitokuwa shida kwake kutafuta sababu za ziada za kurudia tabia zake,kwa mja wa namna hiyo kupima haisadii sana,leo wapima upo salama unaanza kujiamnisha kwake kumbe huku nyuma anaendela kuchoma makaa tu
Sky Eclat hebu njoo unisafishe...
 
Huyu mwenza wangu tulipima kabla hatujaanza mahusiano, wote tulijikuta tuko salama. Baada ya kugundua kuwa ana mahusiano ya ziada nimemtenga. Ameomba msamaha nimemwambia tukapime tena kabla hatujarudisha mahusiano yetu hataki. Lakini bado anadai ananipenda.
Kimbia bila kugeuka nyuma....

Ukigeuka tu utakuwa jiwe la chumvi
 
Back
Top Bottom