Gyole
JF-Expert Member
- Sep 20, 2013
- 7,008
- 7,059
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo binadamu wanataka ndoa ya makaratasi na sio ndoa ya upendoTeh, asikudanganye mtu hakuna kanuni maalum ya mtu kuoa au kuolewa.
Njia ulizotumia wewe sizo alizotumia au atakazotumia mwingine, ndiyo maisha.
Sasa ukimuacha utazeeka bila mume
Kosa ni la naniTatizo binadamu wanataka ndoa ya makaratasi na sio ndoa ya upendo
Tatizo linaweza kuwepo kati ya mmoja waoKosa ni la nani
kama atakuwa hazai , gegeda beki tatu manake huwa wanashika mimba chapHakuna sababu inayoweza kuhalalisha uuaji wa kiumbe kisichokuwa na hatia, hiyo pekee inamfanya akose sifa ya kuwa mke mwema.
Tendo la ndoa ni kwa ajili ya wanandoa. Huo utoaji mimba ni moja ya madhara ya kufanya tendo la ndoa nje ya ndoa. Muoe.
Watoto ni zawadi kutoka kwa Mungu. Mungu akipenda kuwazawadia ni sahihi, asipopenda pia, yupo sahihi.
Ninasisitiza, tendo la ndoa ni kwa ajili ya wanandoa tu.
Kabla ya yote, Karibu sana jamii foram, naona umejiunga leo asubuhi.Jembe kinje umeongea kila kitu mm na miaka 37 nina watoto 6 na mke wangu nilimkuta ana mmoja jumla tuna watoto 7 nilimzalisha mapacha dabo kama mara 2 jumla na singo mara 2 jumla uzazi wake kazaa mara 5 tu kijana wangu wa kwanza nilimpata nikiwa na umri wa miaka 24 mwaka 2007 kwaiyo sasa kijana mm nakushauri uoe uyo mwanamke mtoto ni majaliwa ya Mungu faza kutoa mimba sio tija wewe Muoe mtoto mtapata uyo binti yuko sahihi %100 oa acha kujaribu mzee nakushauri Muoe kama Kinje alivyosema Over....
121.
HayaTatizo linaweza kuwepo kati ya mmoja wao
Mkuu naomba kufahamu kuhusu surrogate mother tafadhali, naona itakuwa suluhisho kwangu.Kwahiyo ukigundua kuwa hawezi kuzaa ina maana hautamuoa ??
We muoe tu akishindwa kuzaa basi mtazaa kupitia surrogate mother !!
Ooh unahitaji kujua maana yake au jinsi wanavyopatikanaMkuu naomba kufahamu kuhusu surrogate mother tafadhali, naona itakuwa suluhisho kwangu.
Daah yani hata sielewi mkuu kuna hali napitia ngumu sana nimeona sehemu umeandika kwamba kama hatakuwa na uwezo kuzaa watatumia hyo nikajikuta natamani kujua kila kitu kuhusu hicho kitu.Ooh unahitaji kujua maana yake au jinsi wanavyopatikana