Hataki tufanye Sex zaidi ya kuromance mpaka nimuoe licha ya kudumu naye kwa Miaka minne

Mkuu nikiwa chuo kuna kitoto cha kinyambo kilileta swaga hizo za bikra, mkuu nilipiga ila ile ilikuwa bikra ya kutengeneza , kuna michezo inachezwa mkuu ukiingia kingi unanaswa na ndoa kumbe km zimesoma hatari.
 
Katafute jukwaa lenu, halafu vitoto vya siku hizi mbona hamna adabu kiasi hicho? Malezi mabaya watu wa maana wamekimbia hili jukwaa kwasababu yenu. Hebu ondoa huu upupu wako hata sijausoma heading tu imetosha. Shenz type
 
Fanya yote ila kama una plan nae usioe kabla ujatoboa maana unaweza usiikute ukafa presha
 
Situation inavyoji-eleza ni wewe tu ndo unafeli mahala, ila huyo denti anatafunwa vizuri sana.
 
Acha zinaa.
Kama ndoa funga ndoa .
Mengine yaendelee kijana sawa.
 
Anajitambua huyo.

Fanya mchakato wa posa. Leta dwal la mshenga wa kukodi nipo hapa. Timu yangu ina uwezo wa kunegotiate mahari ukalipa kuku watano broiler.

Jambo la pili. Subiri tupambanie sheria ya ndoa irekebishwe maana utaingia kwenye club ambayo members wake wengi wanatola nduki
 
Issue za kiroho Mimi nakubali maana demu akipitiwa anapoteza Nuru na focus binafsi nimewai kupitia hiyo situation kama yako

Kuna watu wanajitambua Sana are very smart upstairs kwa jinsi ulivyo tafuta Malaya mwenzio uoe


Au kataa ndoa
 
Wako wako negative sana it's possible kukaa bila kuliwa nivile tu utavyoshikilia msimamo wako, na yote hayo yanawezekana ukiwa deep in prayers naonaga hyo sana kwa mabinti wa kilokole
 
Inamaana ulianza kumchumbia akiwa na miaka 16 (mtoto wa primary??)
Pengine wewe ndiye umesababisha asiendelee na elimu ya Sekondari. Hembu kuwa mwangalifu usije funguliwa kesi hapa.....
 
Wako wako negative sana it's possible kukaa bila kuliwa nivile tu utavyoshikilia msimamo wako, na yote hayo yanawezekana ukiwa deep in prayers naonaga hyo sana kwa mabinti wa kilokole
Kwahiyo na wewe hawaja kukula?..
 
Nasemajeeeeee

Ndoa hakuna cha msingi kama anakunyima mbususu tafuta namna ya kumsahau mzee utakufa mapeeeeeema
 
Wewe nliingiza aliriruka akagoma akavaa na nguo akanambia labda nimshike mbususu tu ili asquirt nishatafuna mbusus kibao mkuu yan huyu n mdogo sana kwangu sema ndo hvyo tu
Hako ni au kaliwai kuwa kalesb yan kanataka kufurahia climax pasipo penetration? Na ww je ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…