Hataki tufanye Sex zaidi ya kuromance mpaka nimuoe licha ya kudumu naye kwa Miaka minne

Tatizo liko kwako we kijana,hicho kidemu kina akili na maadili,,japo kanakosea kukuvulia nguo,hakutakiwa hata kukusogelea kama atakuwa ni muislamu, kwanini usifanye taratiibu za kumuoa??
 
Issue za kiroho Mimi nakubali maana demu akipitiwa anapoteza Nuru na focus binafsi nimewai kupitia hiyo situation kama yako

Kuna watu wanajitambua Sana are very smart upstairs kwa jinsi ulivyo tafuta Malaya mwenzio uoe


Au kataa ndoa
ilo ni kweli mwanamke akipitiwa nuru inapotea anakuwa giza kabisa
 
Katafute jukwaa lenu, halafu vitoto vya siku hizi mbona hamna adabu kiasi hicho? Malezi mabaya watu wa maana wamekimbia hili jukwaa kwasababu yenu. Hebu ondoa huu upupu wako hata sijausoma heading tu imetosha. Shenz type
inatisha sana watu wanasapport uzinifu tu
 
Na wewe miaka minne hutaki kuoa unasubiri nini. Aendelee kukunyima tu hata hizo romance usipate. Kijana wa hovyo sana wewe ,🀣🀣🀣🀣🀣
 
Tena Kamasai
 
Watoto wa Boarding Wanalishwa sna Mafuta ya Taa 7bu Mzungu anamtaka amsome amjue huku akimjaza ujinga eti ndio Civilized
 
Mko wawili hapo na mwenzio haonekani kama ana mpango wa kumuoa kwa hivyo anatumia njia ya kukunyima sex kukulazimisha kijanja umuoe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…