Hatari kuu inakuja. Wanaume wanatoweka, Wavulana wanaibuka kwa kasi

Naona umekuja kumsapoti mvulana mwenzako....
Kwa uchumi wa Marwkani unadhani umejengwa na ile milegezo...?

Swala la msingi hapa nyie masharobaro msio na kitu acheni kuzurura na mabegi mgongoni, acheni kuwabanabana ndugu zenu na familia zao.....kaeni kwenu hata kama ni kwenye tembe....

Acheni kuchagua kazi.....watoto mpo laini laini kama kuku wa kisasa...kwa nini msiwe mashoga...

Halafu uwepo wa wavulana kama nyie msiotaka kazi ila mnataka raha ndiyo imechangia ongezeko la wimbi la wizi wa Laptops , smartphone na accessories nyingine za jamii hiyo.....coz kutwa mna kazi ya kubadilishana vifaa hivyo mtaani.
Shubamiti
 
Achana nao,we unajua mipango yao???..we unafikiri kufanya vibarua kiwandani,ndo uanaume???
Let say,mtu anafanya kazi kiwanda kuanzia asubuhi saa 12 hadi saa 12 jioni,anapata sh 5000,wakati mimi nikizungusha bange zangu kwenye vijiwe 3 tu napata hadi sh 4500.. unafikiri unaweza kuniambia ujinga wa kiwandani???..kuna madogo wanashinda saloon kuanzia asubuhi hadi jioni,hawachafuki wala nini,kwa siku wanaingiza 7000 hadi 8000,kwa nini akabebe zege ambalo kwa siku anapata sh 10000!!.. achana nao unaweza ukamuona mtu yupo yupo tu lakini mipango yake huijui mzee...
Sasa wewe umemuona mtu kabeba begi mgongoni,imekuwa shida unakuja kutoa povu huku..hizo ni tabia za kimama!
 
Sawa mvulana...mkishamaliza hizo kazi laini laini mje mtaani kuuza tako.....
 

Mbona unang'ang'a "ushoga" "ushoga" "ushoga"??


Au ndo mambo yako faza...
 
Hiyo namba sita nimetamani kale kamdogo kangu kapite hapa kajione.

Naongezea na huwa wanachagua kazi pia. Kisa mtu kasoma Marketing basi akipata pa kujishikiza nje ya hicho alichosoma basi hapo ujue katasumbua weee. Khaaaa. Inakera.
 
Kuna watu hapa wanadhani kuwa mwanaume ni kufanya kazi ngumu,kuwa mchafu mchafu,kutokuoga,kutokupendeza,kula ugali mkubwa sana,kutopiga mswaki,yaani wanadhani mwanaume ni mtu flani hivi wa hovyo hovyo..

Sivyo,kwa akili hizi mtaungua sana na ma-petroli!
 
Aisee huu uzi umekushika pabaya...umekubana pumbu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndo kitu mtoa mada anakosea au akijui, wengi anaowaongelea wako kwenye stage uteenager na ujana, hata wazazi wetu wameipitia
 
Si vizuri kutukana matusi,we ni mzee wa aina gani??
Hivi unataka kuniambia huku jamii forum kote,,wewe tu ndiyo umeguswa...??
Walioguswa ni wengi ila kwa busara wamekaa kimya...

Kula urithi pole pole rafiki yangu..

Karibu Arusha..!!!!
 
👍!
 
Ulichozungumza kina ukweli kabisa.
Watoto wa kiume tuwaombee sana.wamebadilika mno.
Mfano hai.
Siku moja nilienda bar na mshikaji wangu(bar hii ipo jirani na chuo kimoja kikubwa). Watumiaji wa hii bar wengi wanafunzi wa chuo.
Baada ya moja mbili wakaja vijana (wavulana) km nane hivi,nao wakaendelea kupiga maji,baada ya mda wale vijana wakaanza kushikana shikana,mi na jamaa tukabaki tunajiuliza maswali kadhaa.
Ghafla wakaja vijana wawili kukaa tulipo.eti ooh kaka ninunulie bia,mara nimekupenda naomba unioe tu.
Mamaeeee nikawasema sana.tukasepa tukaona mkosi huu

Hila sahiv vijana wengi ni mashoga coz ya kupenda slope, siku hizi wanaume ni wachache sana.
 
Nyangema mmoja alikuchukulia demu wako ukaona bora umtandike na thread moko kipande hiki. Pole sana.
 
Nyangema mmoja alikuchukulia demu wako ukaona bora umtandike na thread moko kipande hiki. Pole sana.
Bahati nzuri sina demu...labda nitafute sasa....
Naona na wewe uzi imekutekenya
 
Duh!!..we kweli umechanganyikiwa,picha umeleta wewe mwenyewe halafu wawe wenzangu mimi...
We huoni kama umepagawa mzee..!!
Kinachofanya wawe wenzako, si life style yenu kiongozi...??

Karibu Arusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…