Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
- Thread starter
- #81
We unjuje nin mali au sina...?Halafu we dingi una mawazo ya kimaskini sana,yaani we hata ukiwa na mali kiduchu kwako ni poa eti kwa sababu ni ya kutokana na jasho lako...kumbe ndo maana ulifeli maisha!
Kilichobakia ni kwenda kununua uchawi na majini,uroge watoto wa jirani zako..
Umri wangu unaujua....?
Hayo kama huyajui..kaa kimya..we soma coments za watu...imayokufaa ichukue..isyokufaa achana nayo..
We unadhani haya niliyoandika huku JF nzima yamekulenga pekw yako..??
Kuna wengi tu ila wameamua kukaa kimya wanatafakari...
Wewe bado ni kavulana saaana...ungekuwa umekomaa akili ningekuonyesha ID yangu halisi ya Facebook unione kiumri na statusi yangu halisi...pia tubadilishane mawazo ya kimaisha....