Hatari kuu inakuja. Wanaume wanatoweka, Wavulana wanaibuka kwa kasi

Halafu we dingi una mawazo ya kimaskini sana,yaani we hata ukiwa na mali kiduchu kwako ni poa eti kwa sababu ni ya kutokana na jasho lako...kumbe ndo maana ulifeli maisha!

Kilichobakia ni kwenda kununua uchawi na majini,uroge watoto wa jirani zako..
We unjuje nin mali au sina...?
Umri wangu unaujua....?

Hayo kama huyajui..kaa kimya..we soma coments za watu...imayokufaa ichukue..isyokufaa achana nayo..

We unadhani haya niliyoandika huku JF nzima yamekulenga pekw yako..??

Kuna wengi tu ila wameamua kukaa kimya wanatafakari...

Wewe bado ni kavulana saaana...ungekuwa umekomaa akili ningekuonyesha ID yangu halisi ya Facebook unione kiumri na statusi yangu halisi...pia tubadilishane mawazo ya kimaisha....
 
Faza wewe wazazi wako walifeli kukutengenezea maisha,ndo maana hadi leo hii unayumba,mzazi mwerevu huwekeza kwa ajili ya wanawe..usione kula bata ni gharama sana,ni kitu cha kawaida tu
We mzee ulipaswa uwaandalie mazingira watoto wako,sio unawasimanga!!wewe umefeli na watoto wako pia watafeli kama ulivyofeli wewe...
Kumbuka hata tajiri namba moja bongo anatamba kwa sababu ya mali za baba yake
Sikubahatika kuhitaji mali za urithi coz nilipambana nikafanikiwa kupata zangu binafsi..
 
Huna status yoyote acha mkwara...!!ushafeli, wazee kama nyie huwaga masikini tu,kwa akili zako faza ushawafelisha wanao,nao watafeli kama ulivyofeli wewe..
 
Kuwa mvulana si dhambi,we mwenyewe leo hii ni mzee,lakini ushawahi kuwa mvulana,tuache wavulana tuutumie uvulana wetu...

Halafu faza,mwanaume huwa hajitangazi,utamuona tu matendo yake...ogopa sana mtu anayejipiga kifua akitamba "mimi ni mwanaume,mimi ni mwanaume!!!"..hao mara nyingi ndo huwa mashoga nyuma ya pazia...
Acha kulalamika sana ...unawaangusha wavula wenzako walioamua kupiga kimya....

Hapa tunachojaribu ni kuelezana watu wafanye kazi...si mwanaume unshinda saluni kutwa unasugua uso........eti ili demu flani akupende....

Baba zenu wangefanya hivyo, unafikiri leo hii ungekuwa na huo urithi unaotamba nao.....maana hata enzi zao kulikuwa na bata za wakati huo...
 
Huna status yoyote acha mkwara...!!ushafeli, wazee kama nyie huwaga masikini tu,kwa akili zako faza ushawafelisha wanao,nao watafeli kama ulivyofeli wewe..
Kwani nikikwambia Ninaitwa Fulani, Nina umri fulani, Ninaishi sehemu fulani, ninafanya shunguli fulani, nina mke au sina mke.....Hiyo siyo status...??

Au unafikiri statusi ni kupaka poda na kupost WhatsApp,insta, fb huku ukiwa umeegemea magari ya wanaume....
Umri wangu ni between 30 na 35...so bado nina nguvu za kuendelea kuiandalia familia yangu yaliyo mema.......

Labda mwisho nikuombe utulize MSHONO, ule urithi taratibu....usile kwa pupa..usijejuta baadae..
 
huko daslam endeleen kukaza leo naskia bosi wenu katoa marufuku ya kulaghai vischana halafu hamuwaoi... ilopita ilijuw usipooga usje town.. akufukuzae hakwambii toqer
 
Wewe inaonekana kwenye ukuaji wako kuna hatua uliziluka ndo maana umekuja kutoa mapovu,kauli za hovyo na matusi mengi,sasa kama we mzee hujielewi nani atakuelewa...
Waache vijana waishi maisha yao wanayotaka,kama wewe hukupitia maisha hayo, usitulazimishe tuishi maisha unayoishi wewe
Society inawajibu wa ku-shape individuals. Hhaiwezekani tukakuacha ukuwe unavyotaka. Busara inatoka kwa wazee. Hakuna namna zaidi ya kukaa chini na kuelekezwa vinginevyo mwenekano na uyafanyayo yatatoa tafsiri kama mtoa mada anazozielezea
 
Faza wewe wazazi wako walifeli kukutengenezea maisha,ndo maana hadi leo hii unayumba,mzazi mwerevu huwekeza kwa ajili ya wanawe..usione kula bata ni gharama sana,ni kitu cha kawaida tu
We mzee ulipaswa uwaandalie mazingira watoto wako,sio unawasimanga!!wewe umefeli na watoto wako pia watafeli kama ulivyofeli wewe...
Kumbuka hata tajiri namba moja bongo anatamba kwa sababu ya mali za baba yake
Inaonekana jiwe limetupwa gizani na limekupata. Vumilia kijana na jipange
 
Sasa nijipange na nini boss..kila mtu anaishi maisha yake,au hao vijana washawahi kuja kula kwako.. mbona nyie wazee wa siku hizi mnakuwa na tabia za akina mama!!
 
Society inawajibu wa ku-shape individuals. Hhaiwezekani tukakuacha ukuwe unavyotaka. Busara inatoka kwa wazee. Hakuna namna zaidi ya kukaa chini na kuelekezwa vinginevyo mwenekano na uyafanyayo yatatoa tafsiri kama mtoa mada anazozielezea

Hapana,si kweli faza,unajua mitazamo hii uliyonayo ndio imewapelekea watanzania wengi kuwa masikini,ni ile mitazamo ya ki-nyerere ambayo imepelekea ujinga,malazi na umasikini hadi hii leo... jamii iachwe,kila mmoja afanye analoona linafaa kwa manufaa yake,isipokuwa mambo yanayovunja sheria!!..si mambo ya kijamii eti kijiji kila mtu alime!!..huu ulikuwa ujinga wenu mzee,hamkumpinga wala kumshauri nyerere..

Ona leo jamaa anataka kila mtu akabebe zege,anataka kila mtu afanye kazi ngumu,kijana akibeba begi basi limekuwa tatizo..nyie wazee mlifeli enzi zenu mmesababisha umasikini na ujinga kwa watanzania
 
mimi ni kijana ambaye kwa sasa naelekea kwenye uhenga maana umri wangu ni 30+.

naomba kufahamishiwa, hivi hawa wavulana wa kileo kwenye mifuko ya hizi suruali zao za kubana za siku hizi(wenyewe wanaita skin jeans), huwa wanaweka nini?. mbona mifuko huwa inatuna sana?.
 
Kwani nikikwambia Ninaitwa Fulani, Nina umri fulani, Ninaishi sehemu fulani, ninafanya shunguli fulani, nina mke au sina mke.....Hiyo siyo status...??
Au unafikiri statusi ni kupaka poda na kupost WhatsApp,insta, fb huku ukiwa umeegemea magari ya wanaume....
Umri wangu ni between 30 na 35...so bado nina nguvu za kuendelea kuiandalia familia yangu yaliyo mema.......
Labda mwisho nikuombe utulize MSHONO, ule urithi taratibu....usile kwa pupa..usijejuta baadae..
Una miaka mingapi??? 30..kwa miaka hiyo we bado ni kijana..
Lakini mbona una mawazo ya kizee??? Kwa fikra ulizokuwa nazo,wanao watakuja kukulaumu..ongeza juhudi kwenye kubeba zege..huenda utaokoa kizazi chako,la sivyo mtaendelea kuwa masikini hadi kizazi
 
Acha kulalamika sana ...unawaangusha wavula wenzako walioamua kupiga kimya....
Hapa tunachojaribu ni kuelezana watu wafanye kazi...si mwanaume unshinda saluni kutwa unasugua uso........eti ili demu flani akupende....
Baba zenu wangefanya hivyo, unafikiri leo hii ungekuwa na huo urithi unaotamba nao.....maana hata enzi zao kulikuwa na bata za wakati huo...

Kwa hiyo wewe ukachukua muda wako,ukawachunguza,ukagundua hawafanyi kazi???..tatizo si wao,wewe ndo tatizo..wala hawakuja kwako kuomba msaada,wanashinda salon hawaji kula kwako!..achana nao we pambana na maisha yako!!
Huo tunaita ni unoko na umbea,ulichobakiza ni kuwa mchawi tu
 
mimi ni kijana ambaye kwa sasa naelekea kwenye uhenga maana umri wangu ni 30+.
naomba kufahamishiwa, hivi hawa wavulana wa kileo kwenye mifuko ya hizi suruali zao za kubana za siku hizi(wenyewe wanaita skin jeans), huwa wanaweka nini?. mbona mifuko huwa inatuna sana?.

Huwa kunakuwa na bange pomaja na mirungi..
 
Mtoa mada ana mawazo ya kimasikini sana swala la mavazi ni mabadiliko ya dunia nzima labda ungeanza kufuatilia maisha watu wanaoishi nchi zilizoendelea ungejifunza kitu maana hayo mavazi ndio yanakotokea wewe haujiuliz pamoja ba hayo nchi zao bado ni tajiri huku vijana wanaokazana kulima huko simiyu na kubeba nzege wanakufa maskini kikubwa usimpangie mtu maisha vijana wengi wa dar familia zao maisha safi chochote akihitaji anapewa huwez kulinganisha ni vijana wa huko simiyu pamoja na kujituma kwao kulima sijui pamba bado wanasota tu
 
Sikubahatika kuhitaji mali za urithi coz nilipambana nikafanikiwa kupata zangu binafsi..
Usiongope mzee,
Yaani hii huwa ni mtiririko wa kimaisha,si kwamba hakubahatika kuhitaji mali za urithi,ni kwamba baba yako alifeli na ndo maana hakuwa na cha kukuachia,nawe pia umefeli

Mi nakupa elimu ya bure..mzee pambana mtoe hata mwanao mmoja kafara ili hao wengine waje waishi vizuri,wasihangaike kubeba zege,kubeba magunia viwandani,wasisukume mikokoteni...waishi vizuri kama sisi tulioandaliwa maisha,la sivyo watajilaumu kuwa na baba mjinga asiyeelewa dunia inakwendaje
 
Hivi ndugu yangu umehitimu hata darasa la tatu kweli...????
Mbona unakuwa mzito kuelewa...
Swala hapa...si maisha ya mtu..ni maisha ya wavulana ambao hawajitambui...hawana kazi za kufanya ili ziwaingizie kipato, wao wanajirundika kwa ndugu au nyumbani kwa marafiki zao..

Ukimwambia mtaa wa pili kuna kiwanda kimefunguliwa wanatoa ajira...hataki...anataka kazi za ofisini.

Mbaya zaidi hii mizigo inpojibana nyumbani kwa watu, inakula kuliko watoto wa mwenye nyumba...

Nyie ndiyo wakina baba wa kesho...baba bora hajengwi hivyo unavyofikiria.....ujana ni wakati wa kupambana na maisha....bata ukale na familia yako....hayo ndiyo maisha.

Back
Top Bottom