Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,395
dah, unaweka doa biznez yetu
Mzee anazingua sana,hajui kwenye begi kuna mazaga kibao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dah, unaweka doa biznez yetu
Naona umekuja kumsapoti mvulana mwenzako....Mtoa mada ana mawazo ya kimasikini sana swala la mavazi ni mabadiliko ya dunia nzima labda ungeanza kufuatilia maisha watu wanaoishi nchi zilizoendelea ungejifunza kitu maana hayo mavazi ndio yanakotokea wewe haujiuliz pamoja ba hayo nchi zao bado ni tajiri huku vijana wanaokazana kulima huko simiyu na kubeba nzege wanakufa maskini kikubwa usimpangie mtu maisha vijana wengi wa dar familia zao maisha safi chochote akihitaji anapewa huwez kulinganisha ni vijana wa huko simiyu pamoja na kujituma kwao kulima sijui pamba bado wanasota tu
Achana nao,we unajua mipango yao???..we unafikiri kufanya vibarua kiwandani,ndo uanaume???Hivi ndugu yangu umehitimu hata darasa la tatu kweli...????
Mbona unakuwa mzito kuelewa...
Swala hapa...si maisha ya mtu..ni maisha ya wavulana ambao hawajitambui...hawana kazi za kufanya ili ziwaingizie kipato, wao wanajirundika kwa ndugu au nyumbani kwa marafiki zao..
Ukimwambia mtaa wa pili kuna kiwanda kimefunguliwa wanatoa ajira...hataki...anataka kazi za ofisini.
Mbaya zaidi hii mizigo inpojibana nyumbani kwa watu, inakula kuliko watoto wa mwenye nyumba...
Nyie ndiyo wakina baba wa kesho...baba bora hajengwi hivyo unavyofikiria.....ujana ni wakati wa kupambana na maisha....bata ukale na familia yako....hayo ndiyo maisha.
Nimuulize hapo hapo kwenye picha au?Hyo ni mfano wao na begi lake mgongoni....muulize kubeba nini...hana majibu
Achana nao,we unajua mipango yao???..we unafikiri kufanya vibarua kiwandani,ndo uanaume???
Let say,mtu anafanya kazi kiwanda kuanzia asubuhi saa 12 hadi saa 12 jioni,anapata sh 5000,wakati mimi nikizungusha bange zangu kwenye vijiwe 3 tu napata hadi sh 4500.. unafikiri unaweza kuniambia ujinga wa kiwandani???..kuna madogo wanashinda saloon kuanzia asubuhi hadi jioni,hawachafuki wala nini,kwa siku wanaingiza 7000 hadi 8000,kwa nini akabebe zege ambalo kwa siku anapata sh 10000!!.. achana nao unaweza ukamuona mtu yupo yupo tu lakini mipango yake huijui mzee...
Sasa wewe umemuona mtu kabeba begi mgongoni,imekuwa shida unakuja kutoa povu huku..hizo ni tabia za kimama!
Sawa mvulana...mkishamaliza hizo kazi laini laini mje mtaani kuuza tako.....
Naona umekuja kumsapoti mvulana mwenzako....
Kwa uchumi wa Marwkani unadhani umejengwa na ile milegezo...?
Swala la msingi hapa nyie masharobaro msio na kitu acheni kuzurura na mabegi mgongoni, acheni kuwabanabana ndugu zenu na familia zao.....kaeni kwenu hata kama ni kwenye tembe....
Acheni kuchagua kazi.....watoto mpo laini laini kama kuku wa kisasa...kwa nini msiwe mashoga...
Halafu uwepo wa wavulana kama nyie msiotaka kazi ila mnataka raha ndiyo imechangia ongezeko la wimbi la wizi wa Laptops , smartphone na accessories nyingine za jamii hiyo.....coz kutwa mna kazi ya kubadilishana vifaa hivyo mtaani.
Shubamiti
Kuna watu hapa wanadhani kuwa mwanaume ni kufanya kazi ngumu,kuwa mchafu mchafu,kutokuoga,kutokupendeza,kula ugali mkubwa sana,kutopiga mswaki,yaani wanadhani mwanaume ni mtu flani hivi wa hovyo hovyo..
Sivyo,kwa akili hizi mtaungua sana na ma-petroli!
Ndo kitu mtoa mada anakosea au akijui, wengi anaowaongelea wako kwenye stage uteenager na ujana, hata wazazi wetu wameipitiaHapo unazungumzia teenagers na dunia mzima wanasifa hizo ukitaka kuanza kuzungumizia wanaume Please at least anzia miaka 29+ na wala sio 29 kushuka chini..
Hata wanawake ukianza kuwazungumzia angalau basi 26+...
Nyie ndo mnatakaga mtoto akae kwenye kochi serious anangalia taarifa ya habari akicheza kidogo kofiiiiiii..Yaani mtu yupo kwenye balehe unamfananisha na wanaume watu wazima????
Aisee huu uzi umekushika pabaya...umekubana pumbu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi unataka kuniambia huku jamii forum kote,,wewe tu ndiyo umeguswa...??Si vizuri kutukana matusi,we ni mzee wa aina gani??
👍!Hapo unazungumzia teenagers na dunia mzima wanasifa hizo ukitaka kuanza kuzungumizia wanaume Please at least anzia miaka 29+ na wala sio 29 kushuka chini..
Hata wanawake ukianza kuwazungumzia angalau basi 26+...
Nyie ndo mnatakaga mtoto akae kwenye kochi serious anangalia taarifa ya habari akicheza kidogo kofiiiiiii..Yaani mtu yupo kwenye balehe unamfananisha na wanaume watu wazima????
Bahati nzuri sina demu...labda nitafute sasa....Nyangema mmoja alikuchukulia demu wako ukaona bora umtandike na thread moko kipande hiki. Pole sana.
Haya wenzako hawa hapa..[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Si vizuri kutukana matusi,we ni mzee wa aina gani??
Duh!!..we kweli umechanganyikiwa,picha umeleta wewe mwenyewe halafu wawe wenzangu mimi...Haya wenzako hawa hapa..[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1180384
Kinachofanya wawe wenzako, si life style yenu kiongozi...??Duh!!..we kweli umechanganyikiwa,picha umeleta wewe mwenyewe halafu wawe wenzangu mimi...
We huoni kama umepagawa mzee..!!