Hatari kuu inakuja. Wanaume wanatoweka, Wavulana wanaibuka kwa kasi

Hivi unataka kuniambia huku jamii forum kote,,wewe tu ndiyo umeguswa...??
Walioguswa ni wengi ila kwa busara wamekaa kimya...
Kula urithi pole pole rafiki yangu..
Karibu Arusha..!!!!
Mzee wangu nae mali alizikuta kutoka kwa baba yake,akaziendeleza akatuachia sisi wanae,nasi tunaziendeleza kwa ajili ya vizazi vijavyo..hivi ndivyo inapaswa kuwa hata kwako,lakini kwa kuwa ulishafeli,subiri miujiza ya MUNGU,japokuwa MUNGU hapendi watu wajinga wajinga kama nyie,MUNGU humpenda mtu mjanja..
Faza angu alikuwa mjanja,ndo maana tunabarikiwa milele,hakuna mbeba zege,wala mfyatua matofali katika familia yetu...
Acha watu waishi maisha yao,wewe nawe uishi maisha yako..
 
Najua ni jinsi gani post hii imekubana pumbu...hupumui...

Kula urithi kijana
 
Mkuu Bora Umeliona Hilo aisee Huyo Mtoa Mada Ni Fwalaaa Lililopitiliza Acheni Kuwaonea Madogo Wakiendesha BodaBoda Mnatukana Wakilima Majungu Kibao.
 
Mkuu Bora Umeliona Hilo aisee Huyo Mtoa Mada Ni Fwalaaa Lililopitiliza Acheni Kuwaonea Madogo Wakiendesha BodaBoda Mnatukana Wakilima Majungu Kibao.
Umeshatoka kufanya scrab..???
 
Mtoa mada kuna sehem umefeli,,

KUNYOA KIDUKU.... Hiyo ni hali ya mabadiliko tu ya maisha hata ukiangalia zaman wazazi wetu walikuwa wanapiga mapanki makubwa arafu wanaweka mstari mmoja kati... Na hapo utawaitaje?

MAVAZI.... kutokana na mabadiliko ya utandawazi uwezi ukasema eti watu wavae Raizoni sijui suruali za juu ni banie chini niachie na tena zile suruali zilikuwa zinabana juu na vishati vinavyobana, makabila mengine walikuwa wanavaa ngozi si wanaume si wanawake nusu ya miili yao ipo uchi...lazima watu waende na nyakati...kadri siku zinavyozidi kwenda mambo yanabadilika ...

Yaani mi naona hayo yote uliyoandika yametokana na utandawazi... Maisha ndo yamewashape vijana hivyo...na hata nyie enzi zenu maisha ndo yaliwafanya muwe vile...
 
Wachomwe moto wote aaah sijui miaka ijayo taifa litakuwaje
 
Kwa hiyo kumaliza chuo, unakaa kwa shangazi au shemeji hutaki kazi...unakula mkate mzima mwenyewe hapo kwa shangazi....huo nao ni utandawazi..?
 
Kilichoandikwa hapa mmezidi kujilegeza zaidi ya wasichana tunatamani tuzae watoto wa kike kuliko nyinyi wa kiume kwani mnaaibisha zamani shoga tulikua tu najua hakusoma leo hii na wenye vyetu bora wa kike kuliko hii mijitu inayo kazwa kutwa kucha haiwezi kazi ngumu inabeba mabegi mchana kutwa.
 
Huyu hapa mvulana mwingine wa Dar
 

Attachments

  • IMG-20190813-WA0014.jpg
    98.5 KB · Views: 16
Huyu hapa mvulana mwingine wa Dar
Ulimbukeni unawasumbua... Ukiwa mwanaume ndo huruhusiwi kutengeneza miguu?... Hapo huoni kama wanasaidiana?... Uyo si anamlipa mwenzake...hiyo hela ya anayolipa ndo anatunza familia yake... Jamaa amebuni biashar ya kutengeneza miguu bado hamtaki,,, watu walianzisha kuuza juis ya miwa mkawa mnawatukana mnawaita wanaume wa dar... Yaanj nyie wazee mliozoea kulima mnataabu kweli... Kwanza mwisho wa mwezi bado tu mpate mafao yenu mpumzike maana vijiwe vya kahawa vimewashinda.
 
Watu wasioelewa nchi nyingine zinavyofanya kazi huwa wanajifariji na wanaowaona kwenye media kila siku.
Kuna watu 24/7 anaona jua hardly 4 hours.
Wengine hata habari za kuwa Kuna kujenga familia wamesahau.
Mtu anafika 40 hajawahi gusa mwanaume au mwanamke.
Huku wamejaa vijana lege lege, kazi hawafanyi na ndoto kibao za kufanikiwa.
Wengi wao wanageuka kuwa mashoga
Wezi mitaani
Wauzaji wa madawa ya kulevys
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…