Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
- Thread starter
- #21
mnisamehe kwa magazeti, hali hii inaniumiza sana kwa watanzani wenzangu wanavyoteseka na nikiangalia mustakabali wa vijana wetu, wajukuu zetu na Taifa letu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania sitakaa kuwaonea huruma ukifika uchaguz kama kawaida wataendelea kuwachagua viongozi hawa hawa wanafanya huu ujinga, wahindi na wachina wanatakiwa wote waje waishi Tanzania there is no law in jungleNi tatizo sugu Sana , na linaanzia kwenye mamlaka zenyewe hasa immigration na wizara ya ajira kuna rushwa kiwango kikubwa cha kutisha na loop holes za kuruhusu Huu upuuzi kufanyika , hii nchi inatia hasira Sana , Mimi sijui hawa wapumbav kwenye hizo wizara na mamlaka kazi Yao huwa ni nini , na si wahindi Tu kuna wachina nao na wapuuz wengine wachina mahindi wanaletwa humu kama experts na wanapewa vibali vya kazi kabisa bila hata assessment yeyote wakati kuna Lundo la watu wenye hizo qualifications na experience humu za hizo kazi nchini .
Mtu mweusi kalaaniwa ,huwa hatujifunzi hata Kwa wenzetu jinsi migration na wizara ya ajira Kwa wenzetu zilivyostrict ? ,Hivi mtanzania unaweza toka hapa ukaenda hapo Kenya au Uganda ukapata ajira kipumbavu kama inavyofanyika humu ?
Inahuzunisha sana. Hawa viongozi wachumia tumbo wako radhi wauze hata nchi ili kushibisha matumbo yao.Watanzania sitakaa kuwaonea huruma ukifika uchaguz kama kawaida wataendelea kuwachagua viongozi hawa hawa wanafanya huu ujinga, wahindi na wachina wanatakiwa wote waje waishi Tanzania there is no law in jungle