Ni tatizo sugu Sana , na linaanzia kwenye mamlaka zenyewe hasa immigration na wizara ya ajira kuna rushwa kiwango kikubwa cha kutisha na loop holes za kuruhusu Huu upuuzi kufanyika , hii nchi inatia hasira Sana , Mimi sijui hawa wapumbav kwenye hizo wizara na mamlaka kazi Yao huwa ni nini , na si wahindi Tu kuna wachina nao na wapuuz wengine wachina mahindi wanaletwa humu kama experts na wanapewa vibali vya kazi kabisa bila hata assessment yeyote wakati kuna Lundo la watu wenye hizo qualifications na experience humu za hizo kazi nchini .
Mtu mweusi kalaaniwa ,huwa hatujifunzi hata Kwa wenzetu jinsi migration na wizara ya ajira Kwa wenzetu zilivyostrict ? ,Hivi mtanzania unaweza toka hapa ukaenda hapo Kenya au Uganda ukapata ajira kipumbavu kama inavyofanyika humu ?