Hatari! Majasusi wengi wa Rwanda wanawekeza Kagera, Geita na Kahama mkoani Shinyanga

Niliwahi kusoma na mabinti wawili, baba yao alikuwa nafanya halmashauri, binamu yao ni yule Alfa alishinda tusker project fame. Tulikuwa tunadhani watanzania, baadae wakarudi rwanda wote.
Sijui ilikuwaje baba yao akaweza kufanya halmashauri na mama yao akawa mwalimu kwenye shule ya serikali
 
Usiwe na wasi wasi KINYAGO tumekichonga wenyewe.
 
Kwamanahiyo Zenji ni sawa na Hima empire?
 
Haya madai yako umeyathibitisha vipi?

Sijui kama wale UVCCM waliojaa TISS wanaweza kuyafanyia uchunguzi wowote wa maana.
Wale wapo kwa ajili ya kazi maalum za kuvuruga uchaguzi na kufuta kabisa upinzani
 
Akina Msukuma hao .....!!
 
Wa Wapo wengi sana wa namna hiyo asee....yan mnakuwa nao afu unakuja kushangaa ghafla tu wamefanya maamuzi ya kurudi huko kwao...
 
Chaguzi zilizopita wanyarwanda baadhi hasa wadada walijichomeka kugombea nafasi za udiwani na serikali za mitaa huko kanda ya ziwa
Kwa hili nchi hii kweli ni wajinga sana kama sio wapumbavu,
Maana kitendo cha hao wanaojiita eti TISS kutokutilia maanani huko kwenye roots ambako ndiko viongozi wa baadae tunawapata ni uzembe na upumbavu, ilipaswa watu hawa wanaotaka uongozi huku chini kabisa aasili zao zitafutwe kwa kina kabisa , maana kupandikiza maadui ndani ya nchi nyingine ni jambo ama mbinu ya zamani sana duniani,
 
watanzania kazi yenu kubisha tu hamuwezi kutafakari aliyoyasema je lina athari gani nyinyi ni kujua simba na yanga tu bogaz
 
humuhumu jf wapo wengi na watapinga sana wakijifanya watanzania
 
Mmmmh, hata kama binadamu wote ni sawa ila sio kwa warudi, aisee hao ni watu asilimia kubwa hawana huruma hata kidogo, yaani kutenganisha kichwa cha mtu hawaoni hatari, inshot ni makatili sana sijui sababu ya vita sana huko, roho zao sio, uliza majirani zao Kigoma na kagera
 
Haya madai yako umeyathibitisha vipi?

Sijui kama wale UVCCM waliojaa TISS wanaweza kuyafanyia uchunguzi wowote wa maana.
Wale wapuuzi tu hawawezi kujua haya wanaishi kutukana humu
 

Kuna baadhi ya wabongo ni wapuuzi sana, wanawachukia hawa jamaa bila ya kuwa na sababu zozote za msingi as if ni wageni pekee waliopo nchini. Watanzania tubadilike tuache Majungu.
 
ahsante kwa taarifa, naamini maafisa uhamiaji wa Mkoa wa Geita, pamoja na vyombo vingine vya ulinzi na usalama vita fanyia kazi jambo hilo kwa usalama wa nchi yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…