Hatari: Mwisho wa Dunia October 2017

Hakuna ajuae siku wala saa
 
Kuanzia sasa napokea vitu vyenu vya thamani maana wmwisho wa dunia unakuja. Leteni magari, dhahabu n.k.
Piga 0784####220 kwa mawasiliano ya namna ya kuvileta vutu vyenu.
 
Kuanzia sasa napokea vitu vyenu vya thamani maana wmwisho wa dunia unakuja. Leteni magari, dhahabu n.k.
Piga 0784####220 kwa mawasiliano ya namna ya kuvileta vutu vyenu.
Vitapitia kwangu kwanza ili kuvitakasa, na wote watoao,wataiona pepo.
Imeandikwa..ni heri kutoa kuliko kupokea.
Karibuni
hasa PM.
 
Kama Mungu alisema katika maandiko kua ni yeye pekee anayejua hiyo siku, hakuna mwingine mbinguni wala duniani anayeifahamu, sasa sijui hao majamaa wamejuaje.
 
Ndo yaleyale ya mwaka 2000

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Target yake itakuwa upande upi wa dunia? Halafu lile lililopiga wakati ule na kuwaondoa dinosaurs mbona halikuibomoa dunia na kuondoa uhai wote na badala yake viumbe vingine vipya kama binadamu vilitokea. Au maana yako ya mwisho wa dunia ni uhai kutoweka? Kuna theory inasema yawezekana comets, asteroids za mwanzo zili-deliver uhai i.e. viumbe tofauti na maji, basi yawezekana na hili litaondoa some na ku-deliver something wonderful.
 
Naam uko sawa mkuu
Nasikia itakuwa mazao yanajifungua
na nyama zitapandwa mashambani
 
Vitapitia kwangu kwanza ili kuvitakasa, na wote watoao,wataiona pepo.
Imeandikwa..ni heri kutoa kuliko kupokea.
Karibuni
hasa PM.

Mimi ndio nitavikagua kabla ya kuvipitisha kwako............
 
Wewe Mama Mdogo wewe ni nani ? una utaalamu wa mambo gani ?. Nimekubali sana mambo yako
 
Last edited by a moderator:
Kama Mungu alisema katika maandiko kua ni yeye pekee anayejua hiyo siku, hakuna mwingine mbinguni wala duniani anayeifahamu, sasa sijui hao majamaa wamejuaje.

Mbona mambo mengi sana wametuambia wana sayansi na tumeamini, walisema dunia inaelea, inazunguka toka upande mmoja kwenda mwingine, dunia ni mviringo, na mambo mengi ya kibaolojia na hivi vyote kwenye biblia hajiandikwa, sasa ugumu unakuja wapi kutoamini kuwa jiwe litaipiga dunia ?, au tukiletewa kauli za kufa ndiyo tunakuwa waoga ?. Hawa hawa wanasayansi wakizungu na asia waligundua uwepo wa gesi kule mtwara na tuliamini fasta mpaka tukaanza kugombana, kama vp hata mambo mazuri wanayogundua tusiamini tuwaachie kila wao na mautafiti yao kwa faida yao, wakigundua mafuta bahari ya hindi wachimbe wasipe zao na sisi tusubiri Mungu ashuke ndiyo atuambie vya kuamini
 
Hiyo asteroid wakati inakuja itakuwa inatoa mwanga ambao kila mtu atauona (Ikumbukeni ahadi ya Yesu kwa wale waamini)

kwani yesu alisema tutaona mwanga au tutamwona yeye...
 
Hata hivyo maandiko yanasema (kwa wanao amini) dunia itachomwa moto si kupigwa jiwe!!
 
asante ma mdogo
 
Hiyo asteroid wakati inakuja itakuwa inatoa mwanga ambao kila mtu atauona (Ikumbukeni ahadi ya Yesu kwa wale waamini)

we acha uongo, hakuna anayeijua siku ile ya mwisho, ila baba- Jesus.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…