Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natamani nitukane lkn naamini sio suruhisho.Tayari imekwisha thibitishwa kwamba Dunia Itapigwa na jiwe kubwa toka angani
''Asteroid" siku ya Tarehe 12 October 2017.
Pia jiwe hilo (asteroid) limepewa jina la ''2012 TC 4 Asteroid''.
Jopo la wana sayansi Duniani wameshirikiana kuangalia ni namna gani wataepusha balaa hili.
Nanukuu moja ya mazungumzo.It's inevitable.
Ndugu zangu kaeni Tayari.
Tayari imekwisha thibitishwa kwamba Dunia Itapigwa na jiwe kubwa toka angani
''Asteroid" siku ya Tarehe 12 October 2017.
Pia jiwe hilo (asteroid) limepewa jina la ''2012 TC 4 Asteroid''.
Jopo la wana sayansi Duniani wameshirikiana kuangalia ni namna gani wataepusha balaa hili.
Nanukuu moja ya mazungumzo.It's inevitable.
Ndugu zangu kaeni Tayari.
Mbona mambo mengi sana wametuambia wana sayansi na tumeamini, walisema dunia inaelea, inazunguka toka upande mmoja kwenda mwingine, dunia ni mviringo, na mambo mengi ya kibaolojia na hivi vyote kwenye biblia hajiandikwa, sasa ugumu unakuja wapi kutoamini kuwa jiwe litaipiga dunia ?, au tukiletewa kauli za kufa ndiyo tunakuwa waoga ?. Hawa hawa wanasayansi wakizungu na asia waligundua uwepo wa gesi kule mtwara na tuliamini fasta mpaka tukaanza kugombana, kama vp hata mambo mazuri wanayogundua tusiamini tuwaachie kila wao na mautafiti yao kwa faida yao, wakigundua mafuta bahari ya hindi wachimbe wasipe zao na sisi tusubiri Mungu ashuke ndiyo atuambie vya kuamini
Asante Shieka, Wataalam wanatueleza kuwa kuna mawe mengi tu yako huko anga za juu yanazunguka zunguka na hayako katika uelekeo wa kuipiga dunia. Mfano mnamo tarehe 12 Aprili 2015 kulikuwa na mawe 1572 ya namna hiyo na kila siku yangunduliwa mengine. Hilo jiwe asteroid 2012 TC4 liligunduliwa mara ya kwanza na Pan-STARRS observatory in Hawaii tarehe 4 Oktoba 2012. Tarehe 12 Oktoba 2012 jiwe hili lilipita karibu na dunia kwa umbali wa maili 59,000 (kilomita 95,000 kilometers). Jiwe hili linarudi tena kwenye uelekeo wa dunia na linatarajiwa kufika na kuja welekeo wa dunia yetu na linatafika tarehe 12 Oktoba 2017. Hadi sasa halijulikani kama litaipiga dunia au litapitiliza kama mwaka 2012. Wataalam wanatueleza kuwa: It has a 0.00055% cumulative chance that it will hit, na kuwa There is one in a million chances that it could hit us. Makoto Yoshikawa of the Japanese Aerospace Exploration Agency (JAXA), member of NEOs Division at the International Astronomical Union (IAU) is convinced that the asteroid poses no danger to Earth. The distance is very small. But this distance does not mean the collision, he said.Maandiko matakatifu kwa sisi wakristo yanatueleza kuwa: But concerning that day and hour no one knows, not even the angels of heaven, nor the Son, but the Father only-Mathew 24:36. Kwa hiyo bandugu, if you trust science, just relax and enjoy life!!
Mimi ndio nitavikagua kabla ya kuvipitisha kwako............
Miaka ya juz tu kulikua na nibru watu walisema ivioivio ikapotea na wanasayansi walisibitisha sasa turudi kibibria bibria haijasema ivio kabisa kama mungu anaishi lazima dunia itaisha kama ilivo tabiliwa na alie iumba ndie ataiharibu
Naam uko sawa mkuu
Nasikia itakuwa mazao yanajifungua
na nyama zitapandwa mashambani
Bora uje maana sitakuwa tayari kushuhudia tena tukitawaliwa na CCM....chini ya uongozi wa CCM ni bora ukaishi jahanamu....
Cheka kabisa mkuu kabla sayari hazija gongana maana baada ya hapo vitatawala vilio na kusaga meno.......Nilikuwa sijisikii kucheka leo lakini wallah umeitoa nyongo tumboni.
Hao jamaa ndo walewale waliotabiri kutakuwa na giza siku sita,halafu ikapita kimya. hawajawahi kuwa wakweli
Cheka kabisa mkuu kabla sayari hazija gongana maana baada ya hapo vitatawala vilio na kusaga meno.......
nina imani mama enock hajasikia