Hatari: Mwisho wa Dunia October 2017

Hatari: Mwisho wa Dunia October 2017

hicho kimondo cha 2012 TC4 kilipita jirani na dunia mnamo oktoba 2012, huu ni ----- tu kama ----- mwingine, pelekeni jokes forum, mnadhalilisha jukwaa!
 
Ajuaye siku ya mwisho ni Mwenyezi Mungu pekee. Wengine wote ni WAONGO!

Kuna shirika la kimarekani linalohusika na masuala ya anga linaitwa NASA ndo linalotia watu presure. Walitabiri kuwa mwaka 2012 mwezi wa 12 hilo jiwe lingegongana na sayari dunia na kuisambaratisha lakini haikuwa hivyo.
 
Tayari imekwisha thibitishwa kwamba Dunia Itapigwa na jiwe kubwa toka angani
''Asteroid" siku ya Tarehe 12 October 2017.
Pia jiwe hilo (asteroid) limepewa jina la ''2012 TC 4 Asteroid''.

Jopo la wana sayansi Duniani wameshirikiana kuangalia ni namna gani wataepusha balaa hili.
Nanukuu moja ya mazungumzo.It's inevitable.

Ndugu zangu kaeni Tayari.
Natamani nitukane lkn naamini sio suruhisho.
Hivi hawa Wanasayansi si walishasemaga kua dunia ingefikia tamati mwaka 2013!? Nakumbuka hata habari hiyo pia ililetwa humu na tukaijadili sana kabla na baada ya kupita kwa tareh walio dhaniawa. Mbona siku week miezi sasa ni miaka imekatika na dunia bado inaendelea. Hakuna anaejua mwisho wa dunia wala mwanzo wake. Hivyo tusiumizane vichwa.
 
Tayari imekwisha thibitishwa kwamba Dunia Itapigwa na jiwe kubwa toka angani
''Asteroid" siku ya Tarehe 12 October 2017.
Pia jiwe hilo (asteroid) limepewa jina la ''2012 TC 4 Asteroid''.

Jopo la wana sayansi Duniani wameshirikiana kuangalia ni namna gani wataepusha balaa hili.
Nanukuu moja ya mazungumzo.It's inevitable.

Ndugu zangu kaeni Tayari.

Miaka ya juz tu kulikua na nibru watu walisema ivioivio ikapotea na wanasayansi walisibitisha sasa turudi kibibria bibria haijasema ivio kabisa kama mungu anaishi lazima dunia itaisha kama ilivo tabiliwa na alie iumba ndie ataiharibu
 
Mbona mambo mengi sana wametuambia wana sayansi na tumeamini, walisema dunia inaelea, inazunguka toka upande mmoja kwenda mwingine, dunia ni mviringo, na mambo mengi ya kibaolojia na hivi vyote kwenye biblia hajiandikwa, sasa ugumu unakuja wapi kutoamini kuwa jiwe litaipiga dunia ?, au tukiletewa kauli za kufa ndiyo tunakuwa waoga ?. Hawa hawa wanasayansi wakizungu na asia waligundua uwepo wa gesi kule mtwara na tuliamini fasta mpaka tukaanza kugombana, kama vp hata mambo mazuri wanayogundua tusiamini tuwaachie kila wao na mautafiti yao kwa faida yao, wakigundua mafuta bahari ya hindi wachimbe wasipe zao na sisi tusubiri Mungu ashuke ndiyo atuambie vya kuamini

Hapo red, inawezekana umekurupuka ama umejisahau tu. Yote hayo unayodai hayajaandikwa ndani ya Biblia, yameandikwa sana tu.
 
Asante Shieka, Wataalam wanatueleza kuwa kuna mawe mengi tu yako huko anga za juu yanazunguka zunguka na hayako katika uelekeo wa kuipiga dunia. Mfano mnamo tarehe 12 Aprili 2015 kulikuwa na mawe 1572 ya namna hiyo na kila siku yangunduliwa mengine. Hilo jiwe asteroid 2012 TC4 liligunduliwa mara ya kwanza na Pan-STARRS observatory in Hawaii tarehe 4 Oktoba 2012. Tarehe 12 Oktoba 2012 jiwe hili lilipita karibu na dunia kwa umbali wa maili 59,000 (kilomita 95,000 kilometers). Jiwe hili linarudi tena kwenye uelekeo wa dunia na linatarajiwa kufika na kuja welekeo wa dunia yetu na linatafika tarehe 12 Oktoba 2017. Hadi sasa halijulikani kama litaipiga dunia au litapitiliza kama mwaka 2012. Wataalam wanatueleza kuwa: “It has a 0.00055% cumulative chance that it will hit,” na kuwa “There is one in a million chances that it could hit us”. Makoto Yoshikawa of the Japanese Aerospace Exploration Agency (JAXA), member of NEOs Division at the International Astronomical Union (IAU) is convinced that the asteroid poses no danger to Earth. “The distance is very small. But this distance does not mean the collision,” he said.Maandiko matakatifu kwa sisi wakristo yanatueleza kuwa: “But concerning that day and hour no one knows, not even the angels of heaven, nor the Son, but the Father only”-Mathew 24:36. Kwa hiyo bandugu, if you trust science, just relax and enjoy life!!

mama mdogo uko vizuri nipe namba yako ya m pesa nikutumie hela ya tusker bariiiiidi
 
Mimi ndio nitavikagua kabla ya kuvipitisha kwako............

hawa jamaa wameishaanza kugombania mali kwi kw kwi kwi kwi kwi kwi nimecheka sana eti vipitie kwangu nivitakase da gwajima akisema hivyo atakombaje madhahabu
 
Miaka ya juz tu kulikua na nibru watu walisema ivioivio ikapotea na wanasayansi walisibitisha sasa turudi kibibria bibria haijasema ivio kabisa kama mungu anaishi lazima dunia itaisha kama ilivo tabiliwa na alie iumba ndie ataiharibu

nakumbuka miaka ya 80's kulitokea uzushi kama huu kuwa ni mwisho wa Dunia. Watu waliuza malizao ikiwemo mifugo kwa hofu ya mwisho wa Dunia.

Na haikutokea watu tunakula maisha hadi sasa.

Sasa mmeanza tena wanasayansi kutudanganya. Yesu mwenyewe alisema hakuna AJUAYE MWISHO NI LINI ISIPOKUWA BABA (MWENYEZI MUNGU)



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Bora uje maana sitakuwa tayari kushuhudia tena tukitawaliwa na CCM....chini ya uongozi wa CCM ni bora ukaishi jahanamu....
 
Hao jamaa ndo walewale waliotabiri kutakuwa na giza siku sita,halafu ikapita kimya. hawajawahi kuwa wakweli
 
Ngoja basi niandike barua ya kustaafu kwa hiari ili nile pensheni yangu japo nimeiweka kwa miaka minne tu.
 
Hao jamaa ndo walewale waliotabiri kutakuwa na giza siku sita,halafu ikapita kimya. hawajawahi kuwa wakweli

Cheka kabisa mkuu kabla sayari hazija gongana maana baada ya hapo vitatawala vilio na kusaga meno.......

Hakuna ajuwae siku wala sasa atakayokuja mwana wa Adamu kunyakuwa ulimwengu, dalili zimeandikwa na zishaanza kutokea lakini mwisho wa Dunia ni siri yake MUNGU hakuna ajuwae ila tukeshe na kusali.
 
SULTANI

Wacha ulokole tofautisha kurudi kwa Yesu na mwisho wa Dunia unaosemwa hapo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom