asante shieka, wataalam wanatueleza kuwa kuna mawe mengi tu yako huko anga za juu yanazunguka zunguka na hayako katika uelekeo wa kuipiga dunia. Mfano mnamo tarehe 12 aprili 2015 kulikuwa na mawe 1572 ya namna hiyo na kila siku yangunduliwa mengine. Hilo jiwe asteroid 2012 tc4 liligunduliwa mara ya kwanza na pan-starrs observatory in hawaii tarehe 4 oktoba 2012. Tarehe 12 oktoba 2012 jiwe hili lilipita karibu na dunia kwa umbali wa maili 59,000 (kilomita 95,000 kilometers). Jiwe hili linarudi tena kwenye uelekeo wa dunia na linatarajiwa kufika na kuja welekeo wa dunia yetu na linatafika tarehe 12 oktoba 2017. Hadi sasa halijulikani kama litaipiga dunia au litapitiliza kama mwaka 2012. Wataalam wanatueleza kuwa: it has a 0.00055% cumulative chance that it will hit, na kuwa there is one in a million chances that it could hit us. Makoto yoshikawa of the japanese aerospace exploration agency (jaxa), member of neos division at the international astronomical union (iau) is convinced that the asteroid poses no danger to earth. the distance is very small. But this distance does not mean the collision, he said.maandiko matakatifu kwa sisi wakristo yanatueleza kuwa: but concerning that day and hour no one knows, not even the angels of heaven, nor the son, but the father only-mathew 24:36. Kwa hiyo bandugu, if you trust science, just relax and enjoy life!!