Hatari: Mwisho wa Dunia October 2017

Ndio muanze kufkiria kuwa mtakufa mkiwa ktk hali gani kiroho
 
hicho kimondo cha 2012 TC4 kilipita jirani na dunia mnamo oktoba 2012, huu ni ----- tu kama ----- mwingine, pelekeni jokes forum, mnadhalilisha jukwaa!
 
Ajuaye siku ya mwisho ni Mwenyezi Mungu pekee. Wengine wote ni WAONGO!

Kuna shirika la kimarekani linalohusika na masuala ya anga linaitwa NASA ndo linalotia watu presure. Walitabiri kuwa mwaka 2012 mwezi wa 12 hilo jiwe lingegongana na sayari dunia na kuisambaratisha lakini haikuwa hivyo.
 
Natamani nitukane lkn naamini sio suruhisho.
Hivi hawa Wanasayansi si walishasemaga kua dunia ingefikia tamati mwaka 2013!? Nakumbuka hata habari hiyo pia ililetwa humu na tukaijadili sana kabla na baada ya kupita kwa tareh walio dhaniawa. Mbona siku week miezi sasa ni miaka imekatika na dunia bado inaendelea. Hakuna anaejua mwisho wa dunia wala mwanzo wake. Hivyo tusiumizane vichwa.
 

Miaka ya juz tu kulikua na nibru watu walisema ivioivio ikapotea na wanasayansi walisibitisha sasa turudi kibibria bibria haijasema ivio kabisa kama mungu anaishi lazima dunia itaisha kama ilivo tabiliwa na alie iumba ndie ataiharibu
 

Hapo red, inawezekana umekurupuka ama umejisahau tu. Yote hayo unayodai hayajaandikwa ndani ya Biblia, yameandikwa sana tu.
 

mama mdogo uko vizuri nipe namba yako ya m pesa nikutumie hela ya tusker bariiiiidi
 
Mimi ndio nitavikagua kabla ya kuvipitisha kwako............

hawa jamaa wameishaanza kugombania mali kwi kw kwi kwi kwi kwi kwi nimecheka sana eti vipitie kwangu nivitakase da gwajima akisema hivyo atakombaje madhahabu
 
Miaka ya juz tu kulikua na nibru watu walisema ivioivio ikapotea na wanasayansi walisibitisha sasa turudi kibibria bibria haijasema ivio kabisa kama mungu anaishi lazima dunia itaisha kama ilivo tabiliwa na alie iumba ndie ataiharibu

nakumbuka miaka ya 80's kulitokea uzushi kama huu kuwa ni mwisho wa Dunia. Watu waliuza malizao ikiwemo mifugo kwa hofu ya mwisho wa Dunia.

Na haikutokea watu tunakula maisha hadi sasa.

Sasa mmeanza tena wanasayansi kutudanganya. Yesu mwenyewe alisema hakuna AJUAYE MWISHO NI LINI ISIPOKUWA BABA (MWENYEZI MUNGU)



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Bora uje maana sitakuwa tayari kushuhudia tena tukitawaliwa na CCM....chini ya uongozi wa CCM ni bora ukaishi jahanamu....
 
Hao jamaa ndo walewale waliotabiri kutakuwa na giza siku sita,halafu ikapita kimya. hawajawahi kuwa wakweli
 
Ngoja basi niandike barua ya kustaafu kwa hiari ili nile pensheni yangu japo nimeiweka kwa miaka minne tu.
 
Hao jamaa ndo walewale waliotabiri kutakuwa na giza siku sita,halafu ikapita kimya. hawajawahi kuwa wakweli

Cheka kabisa mkuu kabla sayari hazija gongana maana baada ya hapo vitatawala vilio na kusaga meno.......

Hakuna ajuwae siku wala sasa atakayokuja mwana wa Adamu kunyakuwa ulimwengu, dalili zimeandikwa na zishaanza kutokea lakini mwisho wa Dunia ni siri yake MUNGU hakuna ajuwae ila tukeshe na kusali.
 
SULTANI

Wacha ulokole tofautisha kurudi kwa Yesu na mwisho wa Dunia unaosemwa hapo
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…