Hatari: Mwisho wa Dunia October 2017

nitakuuliza baadhi ya maswali wewe mleta mada, kulingana na elimu yangu ndogo ninachokifahamu mimi ni kuwa angani kuna sayari, nyota, na vimondo. cjawai kusikia uwepo wa mawe jiwe kubwa angani, na kwa maelezo ya wana sayansi wanasema vitu vyote nilivyovitaja vinaele, ata dunia tunayoishi inaele, sasa ilo jiwe Asteroid linatoka wapi na mwishoe ni wapi?
hapa namaanisha kwamba kama vitu vyote angani vinaelea vikidondoka vinaenda wapi? kwa maelezo yako ni kwamba jiwe litaangukia dunia alafu dunia nayo itaenda kuangikia wapi iwapo hakuna mwisho wa anga!
 
Sasa Kama Mwisho wa Dunia Binadamu wa Kawaida Anaujua Inamaana Yesu Ni Muongo kw Kusema hakuna Ajuaye siku wala Saa...

Kwahiyo Hata Huu ni Uongo.. ni Panic z Watu walioshiba Tu maisha Ya Dunia Wanatafuta Cha Ziada
 
miaka michache iliyopita haohao walisema sayari ya Pluto imetoka kwenye orbit yake na siku sio nyingi itagongana na dunia. Lakini mpaka leo hutuisikii tena.
Hiyo ni siri ya Mungu
 
HILI SWALI LAKO ZURI SANA, SANA,TENA SANA KABISA.
NA WEWE MSOMAJI SEMA SANA: MAKOFI TAFAADHALI.

JIBU:
Miaka ya nyuma katika mkoa wa Mbeya kuna jiwe kama
hilo lilianguka.Hata hivyo nyakati za usiku ukiangalia juu
kama una bahati waweza kuona kitu kama nyota kikipita
kwa kasi.(Ni aina ya hayo mawe).

kuhusu kuelea kitu angani uko sawa kabisa anga haina mwanzo
wala mwisho( na baadhi huamini anga ndiye Mungu mkuu).

Ili jiwe kuingia duniani itabidi kuwe na ''SHOT THE STAR''.

KWA KIFUPI SANA TENA SANA; SEMA SANA.

KAMA LILE JIWE LA MBEYA LINGEKUWA NA UKUBWA
KAMA BARA LA AUSTRALIA
USINGALIKUWEPO.
NA NDIVYO ITAKAVYOKUWA.
NI KILIO NA KUSAGA MENO.
 
Yawezekana hilo ndio lile jiwe aliloliona Nabii Daniel?
 
Toa woga wako hapa usipende kutisha watu hakuna anaeogopa anaeopgopa anza kufa wewe kwanza
 
poa tu kwano sayari iko moja? lipo jembe langu linaitwa MARS tutaenda kukaa huko
 
Hongera mkuu kwa taarifa lakini nikusahihishe kidogo kwamba hilo jimba linalokuja ni kati ya mita 20 na 40 kwa ukubwa na litaleta madhara kwa ukubwa zaidi ya kilomota 1 mpaka 200 katika eneo la mchi kavu litakapo dondokea walio karibu zaidi ni madhara makubwa umbali uavyozidi madhara yanapungua kwani linategemea kuzalisha nyuzi joto zaidi ya sentigredi 5000 katika kitovu chake.Kama likitokea kushuka ndani ya maji hasa baharini madhara yake ni makubwa sana na hasa ni kusababisha tsunmi maeneo mengi ya dunia.Ila haitakuwa mwisho wa dunia.
 
Hakuna aijuaye siku ya mwisho ila mungu peke yake.

Biblia
Marko 13:31 "mbingu na nchi zitapita lakini maneno yangu hayatapita kamwe,
Walakini,habari za siku ile na saa ile HAKUNA ANAYEIJUA hata malaika wala mwana(Yesu).ila ni baba tu(mungu).

Japo ni kweli dalili za kiama zishajitokeza.

Ila hao ni wazushi.
Msichome waumini tena.

Tumche mola ukweli wa kumcha
 
👏👏👏..... ume mjibu vizur sana ndugu, kwa maelekezo zaidi akapitie bible mambo yote yapo wazi na yanaeleweka kabisa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…