mr brocken
Senior Member
- Apr 2, 2015
- 166
- 48
Tayari imekwisha thibitishwa kwamba Dunia Itapigwa na jiwe kubwa toka angani
''Asteroid" siku ya Tarehe 12 October 2017.
Pia jiwe hilo (asteroid) limepewa jina la ''2012 TC 4 Asteroid''.
Jopo la wana sayansi Duniani wameshirikiana kuangalia ni namna gani wataepusha balaa hili.
Nanukuu moja ya mazungumzo.It's inevitable.
Ndugu zangu kaeni Tayari.
nitakuuliza baadhi ya maswali wewe mleta mada, kulingana na elimu yangu ndogo ninachokifahamu mimi ni kuwa angani kuna sayari, nyota, na vimondo. cjawai kusikia uwepo wa mawe jiwe kubwa angani, na kwa maelezo ya wana sayansi wanasema vitu vyote nilivyovitaja vinaele, ata dunia tunayoishi inaele, sasa ilo jiwe Asteroid linatoka wapi na mwishoe ni wapi?
hapa namaanisha kwamba kama vitu vyote angani vinaelea vikidondoka vinaenda wapi? kwa maelezo yako ni kwamba jiwe litaangukia dunia alafu dunia nayo itaenda kuangikia wapi iwapo hakuna mwisho wa anga!