joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Kumbe kwa anko magu kuna nafuu kuliko kwa bwashe +254
Wacha ushamba joto saa zingine. Hili ni jambo la kawaida kwenye sector hii ya ndege lakini ninyi mna ndege nne hamuwezi fahamu hili.Wakenya wengi wamehamaki baada ya kuona baadhi ya ndege za KQ zimetumia gundi kushikilizia mikanda na BOMBA(pipes) katika "Engines za ndege hizo chakavu.
Wakenya wamekua wakitoa maoni yao katika mitandao ya kijamii kuonyesha wasiwasi wao juu ya usalama wa shirika lao huku wengine wakiapa kutosafiri tena na KQ badala yake kuomba ATCL waanzishe " route"ya Nairobi ili waanze kutumia huduma bora toka katika ndege za kisasa kabisa za Airbus 200- 300.
Nyie mna ngapi [emoji23][emoji23][emoji23]Wacha ushamba joto saa zingine. Hili ni jambo la kawaida kwenye sector hii ya ndege lakini ninyi mna ndege nne hamuwezi fahamu hili.
Zaidi ya ishiriniNyie mna ngapi [emoji23][emoji23][emoji23]
Zaidi ya ishirini
50yrs of operation, lakini mpo na ndege 3, tena chakavu zinafungwa sellotape, Hahahaha, Hahahaha,Zaidi ya ishirini
Wakijibu hii unitagYour post jus went southView attachment 1205553