HATARI: Ndege za KQ si salama kutumika, bomba zake zimefungwa gundi la karatasi

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
Wakenya wengi wamehamaki baada ya kuona baadhi ya ndege za KQ zimetumia gundi kushikilizia mikanda na BOMBA(pipes) katika "Engines za ndege hizo chakavu.

Wakenya wamekua wakitoa maoni yao katika mitandao ya kijamii kuonyesha wasiwasi wao juu ya usalama wa shirika lao huku wengine wakiapa kutosafiri tena na KQ badala yake kuomba ATCL waanzishe " route"ya Nairobi ili waanze kutumia huduma bora toka katika ndege za kisasa kabisa za Airbus 200- 300.
 
Speed tape is an aluminium pressure-sensitive tape used to do minor repairs on aircraft and racing cars. It is used as a temporary repair material until a more permanent repair can be carried out. It has an appearance similar to duct tape, for which it is sometimes mistaken, but its adhesive is capable of sticking on an airplane fuselage or wing at high speeds, hence the name.

SI UNIT OF STUPIDITY = joto la jiwe
FB_IMG_1568295036153.jpeg
 
Wakenya wengi wamehamaki baada ya kuona baadhi ya ndege za KQ zimetumia gundi kushikilizia mikanda na BOMBA(pipes) katika "Engines za ndege hizo chakavu.

Wakenya wamekua wakitoa maoni yao katika mitandao ya kijamii kuonyesha wasiwasi wao juu ya usalama wa shirika lao huku wengine wakiapa kutosafiri tena na KQ badala yake kuomba ATCL waanzishe " route"ya Nairobi ili waanze kutumia huduma bora toka katika ndege za kisasa kabisa za Airbus 200- 300.
Wacha ushamba joto saa zingine. Hili ni jambo la kawaida kwenye sector hii ya ndege lakini ninyi mna ndege nne hamuwezi fahamu hili.
 
Back
Top Bottom