Hatari, nimeongea na Ex-Wangu, nimejisikia vizuri sana

Duu Ata Sijaelewa Unasifia Minyanduano Mipya na Ex , Don’t turn around Bro You will get Accident
 
ishia kujuliana hali usije kumuomba utamu
 
Nimeongea nae mara moja within 12years .
 
Ushauri wangu, kukutana nae kujua maendeleo yenu ni rahisi from there.
Ila hasara yake.
Unaweza kushangaa mnarudiana, mtoto wenu akijua nyie mnafuraha. Lazma atatoa heshima kwa mama yake wa kambo,katu hatomuheshimu hata kama amemlea miaka kadhaa.
Mbili unaharibu ndoa ya mwenzako. Chunga sana hilo sio kiimani, kibinadamu tu, unamkosea mwamba aliyeoa haswa kama utalala naa huyo mama mtoto wako.
Sisi wanaume hao mabinti tuliozalisha tukawaacha either tunawapa maisha tu wasitie huruma maana ni wetu ila sio kuwalala. Kamwe.
 
Mahawala hawaachani. Nyinyi mlipumzishana kwa muda tu, ikitokea mmeonana hilo penzi la zamani kuna mmoja wenu lazima ataliamsha. Kinachofuata sasa ni ndoa zenu wote wawili mnaziweka rehani.

MWANAUME USIOE SINGLE MAZA labda uone kaburi au cheti cha kifo cha mzazi mwenza, tofauti na hapo jiandae kisaikolojia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…