Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duu Ata Sijaelewa Unasifia Minyanduano Mipya na Ex , Don’t turn around Bro You will get AccidentWakuu, haya maisha yanafunzo.
Niliwahi kuwa na mahusiano na binti mmoja tukapata mtoto mmoja, maisha yakatuchanganya, tukaachana, Kila mtu akaendelea na Maisha yake!
Mtoto aliniachia mawasiliano kumhusu yalibakia kati yake na Mama yangu na alivyofika darasa la 6 nikampeleka Boarding.
Nikaoa, sikujua habari zake tena.
Leo nikakutana na ka diary mahali, nikafungua kujua kinahusu nini, ni cha binti yangu! na nilipofungua macho yangu yalikutana moja kwa moja na namba ya Mama yake.
Sijaonana naye almost 12years now!
Nikapata msukumo kutoka ndani yangu kujaribu kumpigia, as ilikuwa mchana nikajua atakuwa katika mazingira ya kazi.
Nilivyopiga ile namba haikupokelewa, na baada ya dakika kama 10 ikanipigia.
Nilimsalimia tu akanitambua! Alizungumza na mimi kwa heshima sana na kwa sauti ya upole.
Nikatamani kujua status yake, ameshaolewa with two kids.
Yeye anajua kuhusu mimi via my daughter wanawasiliana.
Basi tukapongezana pale na kuagana.
Nimejisikia vizuri mno, nimeona hii ni platform yakushare ninavyojisikia
Natamani sana kumwona tena!
Muhusika anaweza kuona pia, natamani ajue
Sijui nafanyaje hapa wadau...
ishia kujuliana hali usije kumuomba utamuWakuu, haya maisha yanafunzo.

😂 mwanamke alimuongelesha kwa heshima yule dahKiporo kinaenda kuliwa bila hata kupashwa.
sababu nzito ni ukata tu hakuna kingine, sema now mwamba kashajipataMiaka 12 hujaongea na mama mtoto wako,how???ilikuaje mkaachana ,lazima kuwe na sababu nzito nyuma ya pazia.
🤣🤣🤣 niache bhana
hovyo kiaje hapo?Nyie mdo mnasaabisha single mama waonekane wa ovyo
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
It happens Brother.Miaka 12 hujaongea na mama mtoto wako,how???ilikuaje mkaachana ,lazima kuwe na sababu nzito nyuma ya pazia.
Nimeongea nae mara moja within 12years .Umeoa na yeye kaolewa. Unataka uonane naye wa nini?
Na kwa nini huwa mnaendelea kuwasiliana na ma ex wenu? That's like playing on the devil's background.
Focus on your marriage, and she should do the same. Otherwise, both of you are looking for trouble!
Hapana.Unataka kumlomba again?
💃🕺🤣🤣🤣🤭Alafu ikawaje hahaha....