๐ก Hakika Maendeleo ya Teknolojia yanazidi kwenda Kasi lakini kuendelea kwasi kumepelekea watu kujisahau sana na kupelekea maadili kushuka.
๐ก Mtandao wa X ambao Zamani ulikua unaitwa Twitter uliweza kutambulisha akili bandia aina ya Grok.
๐ Lakini Teknolojia hiyo ambayo inasaidia watu kufanya shughuli mbalimbali kwa kupitia chati boti ambayo unaweza kuitumia ndani ya we browser au kupitia app ya X ya Tajiri Elon musk.
๐ Mtandao huu unaongoza Kwa kujibu maswali mbalimbali mtu anayomuuliza hata kama ni Hatari kiasi gani inaweza kukusaidia kukupatia majibu ambapo kikawaida Mitandao mingine inakataa kukupa majibu.
โ ๏ธ Kwa Tanzania sasa Watu wengi wakitumia vibaya kwa kuweza kuchukua picha za watu na kuweza kuzifanya watakavyo asilimia kubwa ya watumiaji wa mtandao wa X wanachukua picha za watu mara wazivue nguo au kufanya wafanyavyo.
โก Hali hii inapelekea kuvunja maadili kupitia Mitandao ya kijamii, hivyo ndugu, jamaa na marafiki kuwa makini na picha unazotuma Mitandao unaweza jikuta umevalishwa sekti, chupi , boxer au kukaa uchi ๐.
Tutumie Mitandao kwa manufaa sogeza picha kuona sample za picha watu wengi wamezifanya hovyo kabisa Tujihadhari ๐.
โ ๏ธ Picha zitakazo onekana sio nzuri