๐—›๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—”๐—ธ๐—ถ๐—น๐—ถ ๐—ฏ๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ถ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—š๐—ฟ๐—ผ๐—ธ ๐—ป๐—ฐ๐—ต๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—ผ ๐—ฝ๐—ผ๐—ฎ

Program ChatGPT iliniambia Simba aliwai kumpiga Real Madrid goli saba kwa nunge pale kwa Mkapa๐Ÿคธ๐Ÿคธ๐Ÿคฃ

Nilivyokosoa akaomba radhi akasema"kumradhi sio Real Madrid ni Horoya".
M niliomba anisummarizie notes kwenye document niliompa Kila muda anakosea nikaamia zangu deepseek nakula life tu
 
Ila kwa office matters mi naipenda ukicommand jambo lako linarahissha muda kama kueedit ni kiasi
 
Hapo unaona tatizo gani?
Likitokea tatizo lolote, the law will catch up with it.

Lakini it is interesting,kwa sababu China watu wamepungua sana mitaani.
Kila mtu anauliza watu wote Mjini wameenda wapi?
Halafu wanaambiwa hao watu itakuwa wamekwenda vijijini.
Lakini huko vijijini pia wanauliza watu wote wamekwenda wapi?
Kwa hiyo Elon Musk akaitumia hii Grok kukadiria population ya China ya sasa hivi.

Hata hii internet watu wamechukua muda mrefu sana kuelewa kwamba huwezi kumtukana mtu mtandaoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ