Hatari ya Mitandao ya Kijamii kwa Amani na Utulivu wa Tanzania

Huyu ni kilaza tu kama vilaza wengine, na kwa andiko lake hili ameidhalilisha saaaana UDSM.
 
Una mawazo ya kijima sana.
 
Huyu ni kilaza tu kama vilaza wengine, na kwa andiko lake hili ameidhalilisha saaaana UDSM.
Udsm kwa sasa imepoteza hadhi ya kuwa chuo kikuu cha Kitaifa, kama wasomi wenyewe ndiyo wa aina hii. Wasomi wanaoamini mitandao ya kijamii ndiyo chanzo cha matatizo yote kwenye jamii!

Badala ya kuingia ndani zaidi kama msomi kujua ni kwa nini vitu kama chuki, udini, ubaguzi, hasira, nk. vinazidi kutamalaki kwenye jamii yetu; yeye ameona asijiumize kichwa! Ameingia zake Chatgpt, akaja na hoja yake dhaifu na isiyo na mashiko.
 
Inasikitisha sana, wazazi wameuza ng'ombe kusomesha ndezi.
 
Ulibyo subjective umeandika mabaya tu. Hakuna mazuri ya mitandao kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…