Hatari ya ushoga kwa watoto wa Tanzania; Serikali itunge Sheria kuzuia vikaragosi vya Superman

Kule Netflix asilimia kubwa ya movie zao zina parts za ushoga..
 
Mkuu kwanini tusianzishe dini yetu ya kiafrika najua tutapata waumini wengi sana...watu wengi wamechoka na hizi dini zilizojaa unafiki.

#MaendeleoHayanaChama
 
Sasa ni wakati ya sisi kuwa wabunifu na kutowa cinema au michezo au mabuku kuonesha ubaya huo.
hapa nadhani itoke bonge moja la sinema likionyesha RIP hamza akiwachapa risasi mashoga nadhani itakuwa ngoma drooo.
 
Kosa ni kosa tuu haijalishi nani analifanya

Umeamua kuwasema mashekhe, wachungaji na mapardi unaowasema wapo wababa kibao tena wenye ndoa wanawafukunyua watoto wao wa kuzaa, achilia mbali wanawake wao na wanaume wengine huko mitaani

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…