Hatari za kuchelewa kuoa

Hoja zako nyingi zina make sense.

Ni kweli kwamba mtu anaweza kuoa/kuolewa na umri wowote, lakini kuna age group ukiivuka inakuwa kama umechelewa kuingia kwa ndoa.

Ni muhimu kupata watoto ukiwa kijana.
 
U spoke my mind mzee,,,,nkionaga mtu anasisitiza ndoa huwa simwelewi kabisa,,, afu jamaa kasema et kuna kiongoz wa serikali alimshauri,,, nahs huyo kiongozi ndo wale wale mabogaz wanaoteuliwa kimchongo mchongo.
 
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji3577]
 
Ujumbe mzuri ila uwasilishaji umeyumba mkuu, jaribu kuwa mstarabu kidogo
 
Ipitishwe sheria haraka kule bungeni kwa Tulia Auckson ya kuwalazimisha wanawake kuolewa kijijini endapo watafikisha miaka 25 bila kuolewa
 
Kuna mapungufu kadhaa mtoa mada ameyaonyesha:

Mosi, Kwa uelewa wake inaonekana kuoa single mother ni tatizo,kuna shida gani ya kumuoa mwanamke mwenye mtoto? Nani amepelekea kuwepo Kwa hao wanawake kama sio Sisi wanaume,VP kesho Mimi au wewe tumeaga duniani je wake zetu wasiolewe na kupata hifadhi ya ndoa?

Pili, umenasibisha ndoa na mwonekano WA mtu,kama ilivyosema mtu akiwa mtu mzima zaidi mamvi na kipara so mwanamke hawezi vutiwa na huyo mwanaume, hiyo sio Sawa hao ambao unadhani hawavutii basi ujue Kwa wengine wanapendwa Sana,mwanamke anahitaji security ya mapenzi na mahitaji katika familia,hayo yakifanywa vizuri ndoa huwa na Amani Sana.

Tatu,riziki ya mtu haina umri maalum,kuna wengine kufanikiwa mapema na wengine ktk utu uzima wao,kwahiyo usiwape presha vijana Kwa kujiona wamechelewa Sana na hivyo ndoa kwao kuwa mtihani,hapana unakosea.

Mwisho ambacho naona umefaulu ni kusisitiza vijana kuoa mapema na kuacha uzinifu,hapo naona umefanikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…