Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #41
Motivational speaker mtafanya tufike mbinguni tumechoka sana.
Sipo Kwa hayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Motivational speaker mtafanya tufike mbinguni tumechoka sana.
Ukweli kwa wote na sababu nimetoa mkuu.Ukweli kwako.
Mkuu ni kweli umri umekwenda na sina hata mwana wa maji ya moto.....je? Nioe hata mwanamke yeyote (mataputapu) eti kisa nimemtafuta mwenye sifa nizipendazo nimemkosa.....
Tutajie sababu zitazomfanya mtoto apate tabuUkweli kwa wote na sababu nimetoa mkuu.
Si vizuri kuleta kiumbe duniani ukijua fika uwezo wa kukifanya walau kiwe na maisha bora baadae huna, ni bora usikilete tu.
Hapo nimemjibu huyo ndgu kua kama huna maisha mpaka umri huo ni kheri usilete kiumbe.
U spoke my mind mzee,,,,nkionaga mtu anasisitiza ndoa huwa simwelewi kabisa,,, afu jamaa kasema et kuna kiongoz wa serikali alimshauri,,, nahs huyo kiongozi ndo wale wale mabogaz wanaoteuliwa kimchongo mchongo.Wewe ndio mjinga kabisa. Serikali inatambua ndo lakini haikulazimishi kuoa. Ni societal pressure. Ni mkumbo. Ni trend. Binadamu mwenye akili sawasawa na thabit huwa hafati social norms, wala trends. Sawa? Na kwa taarifa yako nimesoma kukuzidi wewe bogus unayekaa na kuandika uharo. Dunia haipo hivo, watu hawaoi na maisha yanaenda vizuri kuliko wewe hapo na dhiki zako. Ova
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji3577]Siku zote nakufagilia sana kwenye topic zako lakini Leo umeandika ujinga tu. Kuoa na kuolewa sio maisha na wala sio maono. Kwa maisha ya sasa hutakiwi kuoa mapema kama zamani . siku hizi kuoa ni miaka 35 kuendelea hata 40 ni umri mzuri sana wa kijana kuoa kwani atakuwa ameshawekeza na pia akili imekomaa. Vijana wengi wa sasa ni wadogo lakini wengi wao wanaoa wakiwa,na miaka 25 mpaka 30 cha ajabu wanaoa single mother na wengine Hawaii kabisa Bali wanaolewa au kuhifahiwa na wana wake wenye pesa zao. Ukweli ni kwamba hakuna umri sahihi wa kuoa kwa sasa Bali ni MTU kukamua mwenyewe atakapokuwa tayari. Vijana wengi wenye ndoa nzuri ni wale waliochelewa kuoa na kuolewa kwakuwa wengi wao wameshawekeza hivyo maisha hayawapigi chenga hata wakizaa hawawazi tena ada wala kiwanja ni kujiongeza tu. Lakini kumbuka kuoa na kuolewa sio mashindano chunga amani yako usikimbilie kuoa au kuolewa kisa umri
Ujumbe mzuri ila uwasilishaji umeyumba mkuu, jaribu kuwa mstarabu kidogoWewe ndio mjinga kabisa. Serikali inatambua ndo lakini haikulazimishi kuoa. Ni societal pressure. Ni mkumbo. Ni trend. Binadamu mwenye akili sawasawa na thabit huwa hafati social norms, wala trends. Sawa? Na kwa taarifa yako nimesoma kukuzidi wewe bogus unayekaa na kuandika uharo. Dunia haipo hivo, watu hawaoi na maisha yanaenda vizuri kuliko wewe hapo na dhiki zako. Ova
Umesema kweli Sana aisee!Kuoa ni option ya mtu. Sio kitu cha lazima. Haupungui chochote usipooa. Mjomba acha akili za kijijini huko mashambani. Kuoa ni personal sio societal.
Mkuu nimesema Mambo hayajakaa sawa! Nioe mke na watoto ntawatunzaje?Tafuta mwanamke unayempenda, nenda kwao, zaeni watoto ishini.
Acha zinaa.
Mkuu nimesema Mambo hayajakaa sawa! Nioe mke na watoto ntawatunzaje?
Zote siasa cha msingi ni PESA na kumtumainia Muumba wako hayo mengine ngojera. Tena ukioa 28 - 30 ukayumba kidogo kiuchumi ndoa lazima imwagike.