Hatari za kuchelewa kuoa

Hatari za kuchelewa kuoa

Hoja zako nyingi zina make sense.

Ni kweli kwamba mtu anaweza kuoa/kuolewa na umri wowote, lakini kuna age group ukiivuka inakuwa kama umechelewa kuingia kwa ndoa.

Ni muhimu kupata watoto ukiwa kijana.
 
Wewe ndio mjinga kabisa. Serikali inatambua ndo lakini haikulazimishi kuoa. Ni societal pressure. Ni mkumbo. Ni trend. Binadamu mwenye akili sawasawa na thabit huwa hafati social norms, wala trends. Sawa? Na kwa taarifa yako nimesoma kukuzidi wewe bogus unayekaa na kuandika uharo. Dunia haipo hivo, watu hawaoi na maisha yanaenda vizuri kuliko wewe hapo na dhiki zako. Ova
U spoke my mind mzee,,,,nkionaga mtu anasisitiza ndoa huwa simwelewi kabisa,,, afu jamaa kasema et kuna kiongoz wa serikali alimshauri,,, nahs huyo kiongozi ndo wale wale mabogaz wanaoteuliwa kimchongo mchongo.
 
Siku zote nakufagilia sana kwenye topic zako lakini Leo umeandika ujinga tu. Kuoa na kuolewa sio maisha na wala sio maono. Kwa maisha ya sasa hutakiwi kuoa mapema kama zamani . siku hizi kuoa ni miaka 35 kuendelea hata 40 ni umri mzuri sana wa kijana kuoa kwani atakuwa ameshawekeza na pia akili imekomaa. Vijana wengi wa sasa ni wadogo lakini wengi wao wanaoa wakiwa,na miaka 25 mpaka 30 cha ajabu wanaoa single mother na wengine Hawaii kabisa Bali wanaolewa au kuhifahiwa na wana wake wenye pesa zao. Ukweli ni kwamba hakuna umri sahihi wa kuoa kwa sasa Bali ni MTU kukamua mwenyewe atakapokuwa tayari. Vijana wengi wenye ndoa nzuri ni wale waliochelewa kuoa na kuolewa kwakuwa wengi wao wameshawekeza hivyo maisha hayawapigi chenga hata wakizaa hawawazi tena ada wala kiwanja ni kujiongeza tu. Lakini kumbuka kuoa na kuolewa sio mashindano chunga amani yako usikimbilie kuoa au kuolewa kisa umri
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji3577]
 
Wewe ndio mjinga kabisa. Serikali inatambua ndo lakini haikulazimishi kuoa. Ni societal pressure. Ni mkumbo. Ni trend. Binadamu mwenye akili sawasawa na thabit huwa hafati social norms, wala trends. Sawa? Na kwa taarifa yako nimesoma kukuzidi wewe bogus unayekaa na kuandika uharo. Dunia haipo hivo, watu hawaoi na maisha yanaenda vizuri kuliko wewe hapo na dhiki zako. Ova
Ujumbe mzuri ila uwasilishaji umeyumba mkuu, jaribu kuwa mstarabu kidogo
 
Ipitishwe sheria haraka kule bungeni kwa Tulia Auckson ya kuwalazimisha wanawake kuolewa kijijini endapo watafikisha miaka 25 bila kuolewa
 
Kuna mapungufu kadhaa mtoa mada ameyaonyesha:

Mosi, Kwa uelewa wake inaonekana kuoa single mother ni tatizo,kuna shida gani ya kumuoa mwanamke mwenye mtoto? Nani amepelekea kuwepo Kwa hao wanawake kama sio Sisi wanaume,VP kesho Mimi au wewe tumeaga duniani je wake zetu wasiolewe na kupata hifadhi ya ndoa?

Pili, umenasibisha ndoa na mwonekano WA mtu,kama ilivyosema mtu akiwa mtu mzima zaidi mamvi na kipara so mwanamke hawezi vutiwa na huyo mwanaume, hiyo sio Sawa hao ambao unadhani hawavutii basi ujue Kwa wengine wanapendwa Sana,mwanamke anahitaji security ya mapenzi na mahitaji katika familia,hayo yakifanywa vizuri ndoa huwa na Amani Sana.

Tatu,riziki ya mtu haina umri maalum,kuna wengine kufanikiwa mapema na wengine ktk utu uzima wao,kwahiyo usiwape presha vijana Kwa kujiona wamechelewa Sana na hivyo ndoa kwao kuwa mtihani,hapana unakosea.

Mwisho ambacho naona umefaulu ni kusisitiza vijana kuoa mapema na kuacha uzinifu,hapo naona umefanikiwa.
 
Back
Top Bottom