Hatari za kuchelewa kuoa

I was married at 30 got divorced at 35,game ya ndoa nimewaachia wenyewe. Naendelea kula mema ya nchi huku natafuta pesa kama kawaida.
Pole mkuu! Nn sababu ya divorce? Usaliti?
 
Taifa bora linajengwa na ndoa imara. Kama huoni umuhimu wa ndoa zenye afya manake huoni umuhimu wa taifa lenye watu wazalendo.

Pesa kitu gani mkuu, utaitafuta pesa na haitoshi hadi unakufa na hicho kidogo utawaachia wenzako watumbue. Refer mengi na utajiri wake, wanapigania wengine huku yeye ameshaenda zake.
 
""Yess money is not everything, but make sure you have a lot of them before saying this shit"" Warren Buffet

#YNWA
 
Ndoa bado ni personal choice, hiyo serikali inatoa vyeti vya ndoa lakini haina hata tax exemption kwa wana ndoa.

Sema kimasikini unazaa watoto wa kuja kukutunza uzeeni lakini ukiwa na pesa zako unaajiri mwanasheria na mhasibu atakae shughulikia malipo na mikataba yako yote uzeeni.
 
Jay z alimuoa beyonce akiwa na kaka 40+ na beyonce hakuwa hata kafikisha 30 na ndoa yao ipo mpaka leo
 

Umesema kweli laini zingatia kuwa pesa hazitakutunza Uzeeni Kama hukuweza kujenga familia Bora.

Na familia Bora hujengwa na Ndoa Bora.

Hii ni Kwa wanaume zaidi, kwani wengi ndio hutelekezwa na watoto
 
Dini zote unazijua? Au unadhani ukristo na uislam ndio umemaliza? Kuna wasio na dini. Kuishi na mwanamke sio lazima iwe kuoa, unaweza ikawa temporary, na yakaisha. Mating ni process ya kibinadamu na sio lazima kuoa.

Nimesema Dini kuu, hizo zingine ndogo ndogo sipo Kwa ajili ya mambo madogo au vitu vidogo.

Binadamu ni mnyama akiwa na mtazamo Kama wako.
Binadamu anakuwa MTU pale anapokuwa na Imani na Mungu.

Sio lazima kuoa ukitumia mfumo wa wanyama, yaani humuamini Mungu(huna utashi)
Sio lazima kuoa Kama unamatatizo ya Afya,
Sio lazima kuoa Kama unaweza kujizuia usifanya zinaaa.

Ndio maana kuna kitu kinaitwa "Civilization"
Usije ukadhani kila binadamu yupo Civilized kisa anaishi Duniani sijui Uingereza au huko unakokutolea mifano.

Mtu Civilized lazima "Aoe"
Moja ya Dalili ya mtu kuwa Civilized ni Kumuua Mungu.

Usidhani sijui unachokizungumzia, Ila najaribu kukueleza kuwa wapo binadamu ambao wao na wanyama ni the same Kwa Asilimia 100.
 

Hela haijawahi kumsaidia mtu uzeeni, masikini ndio wanamtazamo Kama wako.

Uzeeni kitakachokusaidia ni namna ulivyoijenga familia Bora Enzi za ujana wako.
 
100/ πŸ’―. Code accepted βœ…βœ”

Tujenge hoja kama civilized persons bhana
 
Mara paap huko chuoni unasikia kametoa koneksheni[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
inakua ndo basi tena πŸ€£πŸ˜…

"when somebody heartbreak πŸ’” you,
You get a chance to be with someone more beautiful "
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…