Hati hati kunyongwa kisa kamkufuru mtume

Hati hati kunyongwa kisa kamkufuru mtume

Wewe ukimtukana au kumkeli Mtume wetuyeyote, tukikushika elewa kuwa kichwa chako halali yetu, labda uwe ni mwendawazimu tu ndiyo salama yako.

Sheria ya kukufuru haikuanzia kwenye Qur'an kaisome Biblia yako, nani aliifuta sheria hiyo?

Kumbuka hilo.
Comments zako nikama unastres hivi.

Pima akili we bibi unazeeka vibaya.
 
Unahamasisha kuuana !!! Huo ni ujinga unatakiwa upewe ban.
Vitabu vyao vinasema hivyo,nadhani hata wakati wa uhai wake hakuwahi kupingwa, kudhaniwa kwamba anachosema kina kasoro,au hata kutukanwa, maana asingeamuri wauwawe wale ambao watamsema vibaya. Lakini huku Kwa wenzetu yule kiongozi wao alipingwa ,alitukanwa na mate akatemewa,na hata kuuliwa ,hata pale walinzi wake walipomtetea Kwa kuwadhuru waliokuja kumdhuru aliwaambia hapana msifanye hivyo,wengine walikatwa masikio akayarudisha kwenye miili yao. Hivyo usichanganye ni vitu viwili tofauti sana
 
Vitabu vyao vinasema hivyo,nadhani hata wakati wa uhai wake hakuwahi kupingwa, kudhaniwa kwamba anachosema kina kasoro,au hata kutukanwa, maana asingeamuri wauwawe wale ambao watamsema vibaya. Lakini huku Kwa wenzetu yule kiongozi wao alipingwa ,alitukanwa na mate akatemewa,na hata kuuliwa ,hata pale walinzi wake walipomtetea Kwa kuwadhuru waliokuja kumdhuru aliwaambia hapana msifanye hivyo,wengine walikatwa masikio akayarudisha kwenye miili yao. Hivyo usichanganye ni vitu viwili tofauti sana
Kila mtu ana haki ya kuishi, kuongea na kutoa maoni hivyo hamna mtu anaruhusiwa kuchukua uhai wa mwingine.
 
We are Muslims, hatuna mchezo na Mwenyezi Mungu na Mitume yake.
Sema Allah na mtume wake pedophile Muhammad na sio mitume

Allah na pedophile Muhammad wapo sawa kila ukimtaja Allah lazima umtaje na Muhammad

Ipo ivi
Koran
33:36. Haiwi kwa Muumini mwanamume wala Muumini mwanamke kuwa na khiari katika jambo, Allah na Muhammad wanapo kata shauri katika jambo lao.
 
Huyo salama yake awe ni mwehu tu.

Serikali wakimwachia mitaani hatumwachi.
Ukitaka kufahamu kuwa hizi dini ni geresha, badala ya watu kuzidisha sala ili ahukumiwe na Allah, wao wanamhukumu kwa kumnyonga. Sasa huyo Allah ni mweu hatowi msamahaa?
Waliodidimiza vinywa kwenye dini wanachekesha na kusikitisha sana. Kutwa kutumia vyombo vilivyoumbwa na wasioamini katika hizo dini...wao wamekalia kupiga magoti tu.
 
Historia inasema allah alikuwa ni moja kati ya miungu zaidi ya 300 waliokuwa wakiabudiwa kule Saudi Arabia enzi hizo na ndipo Mtume alipoagiza kwamba huyo allah ndiye aabudiwe na hao wengine waachane nao.

Sasa aliyekuwa akiabudiwa miongoni mwa miungu mingine atakuwaje na nguvu wakati alikuwa ni Idol tu. Waafrika ni jamii rahisi sana kurubuni kuliko jamii zote duniani.
 
Alah ambaye mtume wake ametukanwa mbona sasa yuko kimya hajamwadhibu huyo kijana? Na Alah hatafanya chochote labda wafuasi wake mumsaidie.

Mtamsaidia Alah kumuua huyo kijana?
Inachekesha dini tumepigwa kweli Allah ni kupiganiwa na binadamu yeye hawezi kujipigania
 
Whatever they say let them say. Ukicheza na mbwa utaingia nae msikitini.


Huyo salama yake madaktari waseme ni mwehu tu.
Mungu wa waarabu hana nguvu za kujitetea[emoji3][emoji3]
 
Kamuulize mwenyewe atakupa jibu 🚶🚶🚶
Kanambia niwaulize wasomi, wasomi wa Britannica wamenijibu hivi:

Mwenyezi Mungu, Kiarabu Allāh ("Mungu"), Mungu mmoja na pekee katika Uislamu.


Kwa kiekolojia, jina la Mwenyezi Mungu pengine ni mikazo ya Kiarabu al-Ilāh, "Mungu." Asili ya jina inaweza kufuatiliwa kwa maandishi ya kwanza ya Kisemiti ambayo neno la mungu lilikuwa il, el, au eloah, mbili za mwisho zilizotumiwa katika Biblia ya Kiebrania (Agano la Kale). Allah ni neno la Kiarabu la kawaida kwa Mungu na hutumiwa na Wakristo wanaozungumza Kiarabu na Wayahudi na pia na Waislamu. Kuunganishwa kwa neno hasa na Uislamu kunatokana na hadhi maalum ya Kiarabu kama lugha ya maandiko matakatifu ya Uislamu, Qur'an: kwa kuwa Qur'an katika lugha yake ya asili inachukuliwa kuwa neno halisi la Mungu, inaaminika kwamba Mungu alijielezea kwa lugha ya Kiarabu kama Allāh. Kwa hivyo neno la Kiarabu lina umuhimu maalum kwa Waislamu, bila kujali lugha yao ya asili, kwa sababu neno la Kiarabu lilizungumzwa na Mungu mwenyewe.

Soma zaidi: Allah | Deity, Meaning, & Facts
 
Mwanafunzi wa shule ya sekondari ya Mauritania amekamatwa kwa kuandika karatasi ya mtihani akimtusi Mtume Muhammad katika mitihani ya mwezi uliopita.

Vyombo vya habari vya ndani vimeripoti kuwa mamlaka za kidini zilidai hukumu ya kifo ikiwa msichana huyo ambaye hajatajwa jina lake atapatikana na hatia ya kukufuru.

Mauritania imeimarisha sheria za kukufuru, zinazoelekeza adhabu ya kifo kwa Waislamu ambao "wanamdhihaki au kumtukana Mungu au Mtume, hata wakitubu".

Hapo awali watu waliweza kuepuka hukumu ya kifo ikiwa walionesha majuto. Chombo cha habari cha Pan-Arab al-Quds al-Araby kiliripoti Jumatano kwamba mwanafunzi huyo anatoka katika mji wa kaskazini-magharibi wa Atar na anatoka katika kabila la Haratin, ambao ni vizazi vya watumwa wenye asili ya kusini mwa jangwa la Sahara.
Source BBC

NB vijana wameshajua kuwa hakuna cha dini ya haki wala mabikra 72 ni nadharia tu, FaizaFoxy, Kikwajuni One na wafuasi wenzenu povu ruksa
Uislamu hauna huruma wala upendo. Ni jukumu Lao kumpigania Mungu wao wakati Mungu wa biblia anajipigania mwenyewe na kuwatetea watu wake. Hii ni moja ya tofauti kubwa kati ya hizi dini mbili.
 
Back
Top Bottom