Hati hati kunyongwa kisa kamkufuru mtume

Hati hati kunyongwa kisa kamkufuru mtume

Kwa hiyo huyo mungu anayefanya kazi kupitia watu amewaambia mumpiganie?

Yeye hawezi kujipigania mwenyewe mpaka ahitaji usaidizi wenu?
Hakuna mwanadamu yeyeto mwenye uwezo wa kutoa uhai wa pasipo indhiini yake
 
Hayo ya kukopi uansema wewe.

Hiyo inaitwa "mosaic law". Musa alikuwa Mkristo?

Hpo nimeonesha kuwa hata biblia ina kanuni hizo za kuuwa.

Usijifanye mjanjanja kucheza na maneno. Soma ujielewe.
Nakunukuu, "TUMEFUATA SHERIA YA KUKUFURU KWENYE BIBLIA"

[emoji115] Hayo ni maneno yako mwenyewe kwenye comment pale juu, usiyakane.

So mohamad na quran yake amefuata sheria ya Biblia? Huwa mkibanwa kwenye kona mnaongeaga ukweli.
 
Inasaidia wengine kuogopa kurudia makosa ya kujitakia
Nani anaogopa? Wangekuwa wanaogopa wasingechoma.
Mbona sasa hawaogopi miaka nenda rudi?
Mpaka leo 2023 bado watu wanaochoma tu.

Ndani ya miezi 2 Quran imechomwa mara 3 Sweeden na wanataka kuendelea kuchoma na hawaogopi.
 
Mama Wa Yesu akiwa na miaka 13 ,aliolewa na Yoseph,mzee wa miaka 90,kuwa na akili watu wa mashariki ya kati wanakula nyama na maziwa ,wana afya usiwe mjinga wa kuwafananisha na waafrika wanaokula ugali na chumvi.
Sasa hapo wataka kuniambia Mama wa Yesu alijibaka kwa mzee wa miaka 90.Ambapo hakuna muislamu anayemsema vibaya Mama wa Yesu kwa kuolewa na jizee la miaka 90.
Unaweza ukatupa reference ya haka ka stori kako na sisi tupate ilim
 
Inasaidia wengine kuogopa kurudia makosa ya kujitakia



Adhabu kali sio kuua tu.

Zipo nyingine nyingine ikiwemo kifungo cha maisha n.k.

Na ingekuwa adhabu kali zinasaidia je Magereza Kuna wakati yanakuwa wazi ?!
 
Anagalau inapunguza



Kuua hapana jamani!

Tena haipaswi hata kuwaza wala kutamka juu ya kumuua mtu.

Fikiria mtu alivyoumbwa na Mungu, anatembea , anaongea, anapumua, Yaani Eti gafla utumike kuzima uhai wake mazima?!

Mmnh hapana aisee!

Mabaya yatakupata na uzao wako hutakuwa salama.

Katika dhambi kubwa sana unazopaswa kuomba zikuepuke nikuu mwanadamu mwenzio yeyote aloumwa na Mwenyewe Mungu bila kujali imani yake.
 
Siri ya uhai wa mwanadamu awaye yote iko na Mwenyezi Mungu mwenyewe,

Unapomuua umeingilia kazi ya Mungu mazima,

Haitakuwa salama na vizazi vyako.
 
Madaktari wenyewe hawaelewi kwa Habari ya uhai na miujiza ya uponyaji ya Wanadamu.

Siri ya uhai wa Mwanadamu iko na Mungu,

Ukiua unamwingilia Mungu utendaji wake naye hatakuacha salama.

Utapata hela, watu watazani kwa nje umefanikiwa lakini utateseka vibaya sana na vizazi vyako.

Tumuogope sana Mwenyezi Mungu.
 
Back
Top Bottom