Hati hati kunyongwa kisa kamkufuru mtume

Hichi kibibi kipigwe miti, hakuna namna. Unafurahia mauaji.
Mbona sisi tumefata sheria ya kukufuru ya kwenye biblia?, Jisomee:

Mambo ya Walawi 24:13-16 Kisha Bwana akamwambia Musa, akisema, Mleteni yule aliyelaaniwa nje ya kambi, na wote waliomsikia waweke mikono yao juu ya kichwa chake; kisha mkutano wote umpige mawe. ... Yule anayelikufuru jina la Bwana hakika atauawa; Kwa hakika mkutano wote utampiga mawe. Mgeni na pia mzaliwa, atakapolikufuru jina hilo, atauawa."

Soma zaidi: Leviticus: The Law of the Blasphemer.
 
Imeandikwa: usihukumu, Imeandikwa visasi ni vya Bwana Mungu .

Alipokuja Yesu Kristo ameboresha zaidi.

Na akasema Imeandikwa jino kwa jino lakini Mimi nawaambia msihukumu wala kufanya visasi maana visasi ni vya Bwana Mungu mwenyewe.

Soma Maandiko uyaelewe vizuri uokoke.

Ukisoma agano la kale Kisha Angalia agano Jipya alipokuja Yesu Kristo kuleta Ukombozi kwa watu wote alisemaje eneo hilo mahususi?

Je lilibaki Kama agano la kale au ameliboresha zaidi?

Mojawapo ya maeneo aloboresha Yesu alipokuja ni hapo Penye hukumu na visasi.

Strictly prohibited [emoji724]
 
Ni afadhari uamini kuwa Mungu yupo halafu ukienda usimkute kuliko kuamini kuwa hayupo halafu ukienda umkute, ndugu kuna watu wanafikishwa chemba kwanza kupewa vifuti na mateke ya mbavu kisa kuamini hayupo na wakamkuta Famchezo?!
Ujinga mtupu. Kwa hiyo ndiyo muuane kwa kumpigania Mungu asiyeonekana, asiyeongea Wala kutatua shida zenu? Mungu gani wa aina hiyo?
 
Mbona sisi tumefata sheria ya kukufuru ya kwenye biblia?, Jisomee:

Mambo ya Walawi 24:13-16 Kisha Bwana akamwambia Musa, akisema, Mleteni yule aliyelaaniwa nje ya kambi, na wote waliomsikia waweke mikono yao juu ya kichwa chake; kisha mkutano wote umpige mawe. ... Yule anayelikufuru jina la Bwana hakika atauawa; Kwa hakika mkutano wote utampiga mawe. Mgeni na pia mzaliwa, atakapolikufuru jina hilo, atauawa."

Soma zaidi: Leviticus: The Law of the Blasphemer.
Unasema "mmefuata sheria ya kukufuru kwenye Biblia".

Asante kwa kukiri. Finally [emoji1787][emoji1787]

Kumbe Quran imekopi Bibilia? Na inafuata Biblia? Kila siku tunasema Mudi alikopi kwenye vitabu vya Wakristo na Wayahudi.
Mbona sasa huwa mnakataa kila siku tukiwaambia?
 
Hayo ya kukopi uansema wewe.

Hiyo inaitwa "mosaic law". Musa alikuwa Mkristo?

Hpo nimeonesha kuwa hata biblia ina kanuni hizo za kuuwa.

Usijifanye mjanjanja kucheza na maneno. Soma ujielewe.
 
Back
Top Bottom