Hati hati kunyongwa kisa kamkufuru mtume

Hati hati kunyongwa kisa kamkufuru mtume

Mwanafunzi wa shule ya sekondari ya Mauritania amekamatwa kwa kuandika karatasi ya mtihani akimtusi Mtume Muhammad katika mitihani ya mwezi uliopita.

Vyombo vya habari vya ndani vimeripoti kuwa mamlaka za kidini zilidai hukumu ya kifo ikiwa msichana huyo ambaye hajatajwa jina lake atapatikana na hatia ya kukufuru.

Mauritania imeimarisha sheria za kukufuru, zinazoelekeza adhabu ya kifo kwa Waislamu ambao "wanamdhihaki au kumtukana Mungu au Mtume, hata wakitubu".

Hapo awali watu waliweza kuepuka hukumu ya kifo ikiwa walionesha majuto. Chombo cha habari cha Pan-Arab al-Quds al-Araby kiliripoti Jumatano kwamba mwanafunzi huyo anatoka katika mji wa kaskazini-magharibi wa Atar na anatoka katika kabila la Haratin, ambao ni vizazi vya watumwa wenye asili ya kusini mwa jangwa la Sahara.
Source BBC

NB vijana wameshajua kuwa hakuna cha dini ya haki wala mabikra 72 ni nadharia tu, FaizaFoxy, Kikwajuni One na wafuasi wenzenu povu ruksa
Fake News.
 
Mwenyezi mungu wenu ndie anawatuma muue? kazi ipo, hamjui kusamehe!.
Wanamfuata Yesu kwa vitendo,ili wapate uzima wa milele
Yesu anasema :
"Msidhani nimekuja kuleta amani duniani,sikuleta amani bali UPANGA"
Matthew 10:34-36
 
Back
Top Bottom