Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
Yesu anasemaHebu jibu hili swali:
Huyo kijana anatakiwa auliwe kwa sababu ya kumkashifu mtume? Anatakiwa Auliwe au asiuliwe?
"Bwana ni mtu wa vita"
Kutoka 15:3
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yesu anasemaHebu jibu hili swali:
Huyo kijana anatakiwa auliwe kwa sababu ya kumkashifu mtume? Anatakiwa Auliwe au asiuliwe?
Biblia ukiisoma kama gazeti utakuja kuumia. Inabidi utulize akili. Mtafute nyoka au nge mkanyage halafu ulete majibu hapa. Si umepewa mamlaka? Mtafute mchungaji akufanunulie kama haujui maana yakeWanamfuata Yesu kwa vitendo,ili wapate uzima wa milele
Yesu anasema :
"Msidhani nimekuja kuleta amani duniani,sikuleta amani bali UPANGA"
Matthew 10:34-36
Wanmfuata Yesu kimatendo ili wapate uzima wa mileleHiyo pia ni ishara kuonesha Allah hayupo ndio maana matukio kama haya ya kunyonga watu walio kashifu jina lake yanatekelezwa na watu
Uliona Yesu wapi anashika mapanga na kuanza kukata watu? ha ha ha haYesu anasema
"Bwana ni mtu wa vita"
Kutoka 15:3
Wanafuata maagizo ya Yesu kwa vitendo ili wapate uzima wa milelemungu wao hana nguvu za kuweza kujitetea mpaka watumie majambia kuwatoa roho viumbe wenzao!!! Hizi imani mufilisi kabisa!!!
Wanafuata Yesu kwa vitendo ili wapate uzima wa mileleMiungu isiyoweza kujitetea yenyewe..eitha imekufa au haipo.
Huu ndio ukweliAnd how did the Crusaders spread christianity?
Usijidai kuandika kwa kiingereza cha kiswahili hapa.
"BWANA NI MTU WA VITA"Mungu na mitume wa kweli hawawezi kuheshimiwa kwa shuruti na sheria. Kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza
Lete chanzo cha hiyo habari.Ni fake newsLeta habari sahihi au ushahidi wa kuonyesha ni fake
Wameshakugeuza huko,ndi unasifia.Wanapenda huu mchezo sana huoni mashoga ni yusuph , juma, saidi lakinj sio joseph wala nini . Kwao wanaita suna mwanadada akiwa hedhi hii ndii suna
Yesu anasemaNdiyo ujue ni dini ya hovyo sana. Kinachowalinda ni hiyo kuua, kufanya vuruga n.k ila hakuna kitu kabisa hapo.
Uislam ni genge la wahuni. Hakuna dini hapo
Hujui kama wapo wanaoksnyaga nge,na hawaumii.Biblia ukiisoma kama gazeti utakuja kuumia. Inabidi utulize akili. Mtafute nyoka au nge mkanyage halafu ulete majibu hapa. Si umepewa mamlaka? Mtafute mchungaji akufanunulie kama haujui maana yake
Luka 10:19
Tazama nimewapa mamlaka ya kukanyaga nyoka na nge na juu ya nguvu zote za adui; wala hakuna kitu chochote kitakachowadhuru.
Mungu asiejitetea ila anatetewa na binadam.Huyo salama yake awe ni mwehu tu.
Serikali wakimwachia mitaani hatumwachi.
Yesu alipindua meza na viti hekaluni,wafikiri alipindua mikono mitupu.Matthew 21:12-22Uliona Yesu wapi anashika mapanga na kuanza kukata watu? ha ha ha ha
Acha kusoma Biblia Takatifu kama gazeti.
Mtafute mchungaji akafanunulie
Lete chanzo cha uhakika,BBC ndio niniSoma BBC
Dhambi kwa waislamu niMwehu kama Fox wa JF, likija swala la dini akili anaweka mfukoni anabaki na matope kichwani
Nonsense.We are Muslims, hatuna mchezo na Mwenyezi Mungu na Mitume yake.
Unajua maandiko ila hujui neno"BWANA NI MTU WA VITA"
Kutoka 15:3
I love Sweden.Whatever they say let them say. Ukicheza na mbwa utaingia nae msikitini.
Huyo salama yake madaktari waseme ni mwehu tu.