Hati ya kukamatwa kwa Rais Vladimir Putin: Je, utaratibu upoje?

Namuunga mkono Putin, mfumo wa USHETANI wamagharibi wanaoupigia chapuo urudishwe nyuma.
 
Hakuna wa kuthubutu hata yule kiherehere wa Amerika hawezi na uthubutu 😂
Atakamatwa na magenerali wake ndani ya Russia ambao ni power mongers kama solution ya kumaliza vita na kuikoa urusi dhidi ya mdororo wa uchumi

Hiyo hati ina maana kubwa kuwa jumuiya ya kimataifa inayemtambua kama mhalifu wa kivita Urusi ni huyo Kinara Putin tu sio magenerali wa Jeshi

Hiyo itaaatua magenerali kumdaka na kumkabidhi The Hague
 
Hakuna wa kuthubutu hata yule kiherehere wa Amerika hawezi na uthubutu [emoji23]
Putin akitinga USA ananyakea ingawa nawjua hawezi enda.Siku alienda ujue Kuna makubaliane bilateral wamefany ambayo yatahusu mpango ya amani
 
Unamaanisha nini mkuu?
Neno propaganda limekuwa likitumika hata pasipositaili kutumika.
ICC imetoa agizo la kukamatwa Putin. Katika muktadha wa habari hiyo hiyo neno "propaganda" linaingiaje?
Kwamba ni propaganda kuwa ICC haijtoa agizo ilo ama ni propaganda katika framework ipi?.

Wasomi wa Jf na gugo mnatuchanganya sana, bhana.
 
Vipi kuhusu majemedari wema wanaotofautiana na Putini ndani ya Urusi, unafkiri hawatakuwa na namna na kutoa mashirikiano kukamatwa ama kumpeleka Putin mbele ya ICC?

Unafkiria anayofanya putin yanawafurahisha wote urusi? ni suala muda lakini madam Warrant imetoka na namna ya kumkamata tayari ipo kwenye malengo sasa wacha jamaa aishi na khofu kwanza
 
Sasa ni rais gani huyo asiye na uhuru kukanyaga baadhi ya nchi
 
hizo ndoto za mchana
 
Ulitaka akamatwe kwa makosa gani?
Taja kosa moja ambalo lingepelekea kukamatwa
Hajafanya kosa lolote ila akamatwe tu kama ambavyo PUT IN hajafanya kosa lolote ila wanataka kumkamata

Ingawaje hawawezi wakamkamate kwanza AL BASHIR
 
Putin akitinga USA ananyakea ingawa nawjua hawezi enda.Siku alienda ujue Kuna makubaliane bilateral wamefany ambayo yatahusu mpango ya amani
Sasa mipango yaamani ya nn c watie nae halaf wanaivunja akiwa anashuka pale eyapoti
 
Wameandaa mtego aondolewe na wenzake afu wamkabidhi ICC
hakuna kitu hapo,kwanza ICC warusi wanaiona takataka tu na haina impact yoyote.Hii inadhihirishwa na kitendo cha zaidi ya mwaka mmoja uliopita March 4,2022 mahakama hiyo kui-amuru Urusi isitiishe vita(ICC Issues Ukraine Invasion HALTING ORDER),uamuzi ambao ulifanywa na majaji 13 wakiongozwa na Mmarekani Judge Joan Donoghue,lakini Urusi iliendelea na vita na uamuzi huo hauna effect yoyote wala Urusi kwa kuidharau hata hakutuma Advocates kuitetea nchi yao kwani haitambui hata mahakama yenyewe
 
Mwambie BIDEN aende KOREA KASKAZINI au IRAN
Wa Iran na North Korea wenyewe wamechoka na nchi zao aende kufanya nini tunazungumzia nchi zenye ushawishi duniani nchi za Ulaya na US., hata wewe ukifungiwa usiende uganda unahisi italeta athari gani, naongelea nchi zenye ushawishi kiuchumi ulimwenguni putin hatakakanyaga atafia Kremlin
 
Hawa jamaa wa West wanajitekenya na kucheka wenyewe.
Sheria yoyote ina jurisdictiin, yaani maeneo inayoweza kutekelezwa. Urusi siyo signatory wa ICC , sasa sana sana wamemfanyua Putin dharau.

Kama ICC wana ubavu si wanajua Putin alijo huko Moscow?
Waende tu kumkamata.
 
Kwenye vita maaskari na magenerali ndio hufa sio viongozi na familia zao

Sasa magenerali wakiona wamechoka vita huwa mara ingine hawajui waimalize vipi

Huhitaji msaada wa ushauri toka nje ya jeshi kujua wafanyaje.Hao magenerali wa Urusi walikuwa kwenye mkwamo wa maamuzi

Sasa mahakama.ya uhalifu wa kivita imewatonya jinsi ya kumaliza vita kuwa mleteni Putin ndiye mhalifu mkuu wa kivita kati ya Russia na Ukraine sio nyie

Mkimleta huyo mhalifu vita inaisha


Sasa hapo wameachiwa wao waamue waendelee kupigana Ukraine usiku na mchana wakilala maporini kwenye maisha magumu kwa kutii amri. Za Mhalifu wa kivita Putin mhalifu wa kimataifa anayetakiwa mahakama ya uhalifu wa kivita The Hague au wamkamate wamkabidhi The Hague Askari warudi kwao kula bata na Urusi iwe na amani na kuondoka kwenye mdororo wa uchumi?

Jibu rahisi watachagua kukamata Putin na kumkabidhi The Hague
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…